Uchaguzi 2020 Ahsanteni Tanga kwa kukubali mabadiliko

Ahahahhahaha itakuwaaaaa Singidaaa masharikii kwa Lissu, wanakunywa maji na wanyama
Singida ni mji mkame ila kuna mashirika yanachimba visima kila kijiji
Kilimanjaro ni Wasomi na watu wenye uchumi hio Tanga yenyewe uchumi upo mikinoni mwa wachaga
Sijui kuna wagosi wangapi Wana raslimali moshi
Watu, mbwa ngombe fisi punda wote bwawa moja. shidaaaaaaaaaaaaaaa
 
Singida ni mji mkame ila kuna mashirika yanachimba visima kila kijiji
Kilimanjaro ni Wasomi na watu wenye uchumi hio Tanga yenyewe uchumi upo mikinoni mwa wachaga
Sijui kuna wagosi wangapi Wana raslimali moshi
Wachagaaaaaaaa ni kama maji popotee wapo, ila Wachagaaaaaaaa wanafahamu kuwa kwa Tanga mjini wapinzani wao kibiashara ni wagosi
 
Ishu ni hii; Mna hela?
 
Singida ni mji mkame ila kuna mashirika yanachimba visima kila kijiji
Kilimanjaro ni Wasomi na watu wenye uchumi hio Tanga yenyewe uchumi upo mikinoni mwa wachaga
Sijui kuna wagosi wangapi Wana raslimali moshi
Nimemaliza 89% Tanga maji Safi na salama, Alie juu yetuu ni KLM,
 
Waislamu wanaingiaje tena hapa! Una taarifa kwamba matajiri wakubwa hapa Tanzania ni waislamu?
 
Ndio nakwambia hawapo kwenye uchumi Wana ganga njaa tu
Biasharaaaa ni akili sio Aina ya biasharaaaa, Bakhresa anauza ICE CREAM, na anatusua, acheniii kasumba mnachomekea kumbe Laki 8 kwa mwezi, huku muuza chips anakuzunguka mara 4, unaishiaaaaa kutumikishwa na wahindiii na wa china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…