Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea
Tanesco wameshanawa mikono mapema. Eti pale uwanjani ni jenereta ndilo lilikuwa linatumika, kama kanuni za CAF zinavyosema. So jenereta ndilo lililozingua.... 🤔
 
Hamna kazi aliyofanya. Hao walikuwa wapiga matarumbeta wa Jiwe. Walikuwa tayari mitambo ya tanesco iungue lakini wasizime umeme kwa ajili ya ukarabati
Hiyo mitambo ni ya aina yake maana haijaingua kwa muda wa miaka sita.
 
Kigogo mmoja amemuomba msamaha Waziiri wa zamani wa Nishati mh Kalemani na kusema Wakati Ule anamshambulia hakujua kuwa alikuwa anafanya Kazi kubwa sana

Kigogo huyo kupitia ukurasa wake wa twitter amesema anaomba radhi sana kwa mbunge huyo wa Chato na kwa Mungu wa mbinguni

Nawatakia Mei dei yenye Furaha!
Hakusema kuwa anaomba radhi pia kwa mungu wa chato?
Yale majambzi yalikuwa yana utatu wa uharifu yaani mungu wa chato, sabaya na makonda.
 
Hamna kazi aliyofanya. Hao walikuwa wapiga matarumbeta wa Jiwe. Walikuwa tayari mitambo ya tanesco iungue lakini wasizime umeme kwa ajili ya ukarabati
Ni mtu taahira tu anaweza kufikiria kama wewe.

Mitambo haiwezi kulazimishwa, ingekua ilishalipuka ama kuharibika kabisa na hakuna umeme ungekua unazalishwa.

Kwa mfano, mitambo ya kuzalisha umeme kwa gesi ni jet engines zile, huwezi kuzilazimisha, zina muda na taratibu zake. Pia zina OEM warrant, hakuna OEM atakaekubali kitu kama hicho.

Wakati mwingine muwe mnatumia akili kidogo mlizonazo kufikiri. Usitembee tu kama umejaza mavi kichwani mwako badala ya akili.
 
Tukumbushne: Yanga imetinga nusu fainali
Screenshot_20230501-071610_Facebook.jpg
 
Ni mtu taahira tu anaweza kufikiria kama wewe.

Mitambo haiwezi kulazimishwa, ingekua ilishalipuka ama kuharibika kabisa na hakuna umeme ungekua unazalishwa.

Kwa mfano, mitambo ya kuzalisha umeme kwa gesi ni jet engines zile, huwezi kuzilazimisha, zina muda na taratibu zake. Pia zina OEM warrant, hakuna OEM atakaekubali kitu kama hicho.

Wakati mwingine muwe mnatumia akili kidogo mlizonazo kufikiri. Usitembee tu kama umejaza mavi kichwani mwako badala ya akili.
Nipe tenda nije kukusafisha mtaro, naona kichwani umejaza matakataka
 
Tanesco wameshanawa mikono mapema. Eti pale uwanjani ni jenereta ndilo lilikuwa linatumika, kama kanuni za CAF zinavyosema. So jenereta ndilo lililozingua.... 🤔
Kama ni genereta basi ni lazima pia pawepo na standby genereta nyingine maana hata kwa wachezaji wapo substitutes ndio kanuni zilivyo ! Meneja wa uwanja atimuliwe !!
 
Kabisa lazima mtu awajibike, ili kusiwe na uzembe kama huu tena. Ila kwa Tamzania hii, hili nalo litapita kama mengine, na litakuja kutokea tena na kupita!!!
 
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Pindi Chana amewasimamisha kazi Wafanyakazi saba (7) wa Uwanja wa Taifa Dar es salaam kutokana na Majenereta ya Uwanja wa Taifa kushindwa kufanya kazi katikati ya mechi ya Yanga vs Rivers United ya Nigeria na taa kuzimika jana usiku na kufanya mechi isimame kwa zaidi ya dakika 15.

Waliosimamishwa kazi ni Salum Mtumbuka ambaye ni Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Manyori Juma Kapesa ambaye ni Mhandisi wa Umeme wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Tuswege Nikupala ambaye nj Afisa Tawala Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Katibu Mkuu wa Wizara hii Said Yakubu akitekeleza agizo la Dr. Pindi, pia amewasimamisha kazi kupisha uchunguzi Watumishi wengine wanne ambao pia wana majukumu ya uendeshaji wa uwanja ambao ni
Gordon Nsajigwa Mwangamilo, Gabriel Mwasele, Yanuaria Imboru na Dkt. Christina Luambano.

Katibu Mkuu Yakubu amemteua Milinde Mahona kuwa Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na uteuzi huo unaanza mara moja kuanzia tarehe 01 Mei 2023 ambapo pia tayari Katibu Mkuu anawasiliana na Wadau wote husika ili mechi zitakazochezwa katika Uwanjani hapo zichezwe wakati wa alasiri/jioni badala ya usiku katika kipindi ambacho Wizara inakamilisha taratibu za kupata Mzabuni atakayefanya ukarabati mkubwa katika uwanja huo kabla ya kuanza kwa msimu ujao wa ligi/michuano ya kimataifa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Angalau !!
 
Nawaomba waandishi wa habari wa Tanzania ambao hufanya kazi za uchunguzi yaani investigative journalism, wachunguze kuhusu kuzimika kwa taa uwanja wa taifa na watupe ukweli haraka sana.
 
Utata mkubwa ni kuwa Taa zinazima kwenye MICHEZO ya kimataifa tu.
Watu wamekuwa wakihofia hujuma Ili Simba asicheze super CUP uwanja wa Benjamin Mkapa.

CAF NA SUPER CUP WALITOA ONYO YA KUUFUNGIA UWANJA KAMA UTAKUWA NA MAUZAUZA.

CHA MUHIMU CHA KUFANYIKA.

1. uwanja mzima unahitaji marekebisho. Hadi screen sio mi mbao Yao Ile waitoe pmbfu sana Hela wanakula na kuiba.

2. Wabadirishe Taa na KUNUNUA MAJENERETA mapya mawili.
Hilo jenereta lililo haribika walipereke Dodoma.

3. Vyooni ndio kabisa.

4. Nje Rangi zimebanduka sana UWANJA NI MCHAFU.

Binafsi niliacha kwenda uwanjani 10 years Ago.
 
Back
Top Bottom