Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 May 2, 2023 #461 Hakuna hao waandishi hapa Tz. Waliopo ni chawa pro max.
Thomas10 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 856 Reaction score 2,315 May 2, 2023 #462 Niliwahi kusoma mahala, wanasema kutakuwa ukarabati wa huo uwanja baada ya ligi kuisha. Nadhani ukarabati utakuwa wa jumla
Niliwahi kusoma mahala, wanasema kutakuwa ukarabati wa huo uwanja baada ya ligi kuisha. Nadhani ukarabati utakuwa wa jumla
Thomas10 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 856 Reaction score 2,315 May 2, 2023 #463 Ulongupanjala said: Hakuna hao waandishi hapa Tz. Waliopo ni chawa pro max. Click to expand... Wapo, walifubaa enzi za Magu Kila mtu anaogopa kufa
Ulongupanjala said: Hakuna hao waandishi hapa Tz. Waliopo ni chawa pro max. Click to expand... Wapo, walifubaa enzi za Magu Kila mtu anaogopa kufa
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 May 2, 2023 #464 Thomas10 said: Wapo, walifubaa enzi za Magu Kila mtu anaogopa kufa Click to expand... Sasa kama walifubaa utasema wapo? Binafsi narudia tena kusema hawapo hao waandishi hapa Tz.
Thomas10 said: Wapo, walifubaa enzi za Magu Kila mtu anaogopa kufa Click to expand... Sasa kama walifubaa utasema wapo? Binafsi narudia tena kusema hawapo hao waandishi hapa Tz.
amadala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,265 Reaction score 12,268 May 2, 2023 #465 Waandishi wa habari za uchunguzi Tanzania hawapo, wapo huko BBC na Aljazira hapa kwetu wanaweza kuchunguza issues za vicoba kwa akina mama
Waandishi wa habari za uchunguzi Tanzania hawapo, wapo huko BBC na Aljazira hapa kwetu wanaweza kuchunguza issues za vicoba kwa akina mama
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 10,587 Reaction score 13,425 May 2, 2023 Thread starter #466 amadala said: Waandishi wa habari za uchunguzi Tanzania hawapo, wapo huko BBC na Aljazira hapa kwetu wanaweza kuchunguza issues za vicoba kwa akina mama Click to expand... Hatari kweli kweli Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
amadala said: Waandishi wa habari za uchunguzi Tanzania hawapo, wapo huko BBC na Aljazira hapa kwetu wanaweza kuchunguza issues za vicoba kwa akina mama Click to expand... Hatari kweli kweli Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app