mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 641
- 600
Sio Tu muajiriwa ata watoto zao wanawapa connection ndani ya taasisi majina yanajirudia tu!!!![emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Mleta uzi ntakuunga mkono kama wewe umejiajiri, ila kama unaleta hizi dhihaka kwa vijana wetu wakati na ww ni muajiriwa tu utakua na matatizo sio bure.!
Wao wanaweza izo gharama lakini hawawapi mitaji ya kilimo watoto wao,ni connection tu kwenye mataasisi ,NIMETUKANA TUSI KUBWA ATA HALIANDIKIKIKilimo cha mdomo rahis kweli sio cha shambani. Ukodishe shamba kama huna, utafute vibarua, ununue mbegu, mbolea hii inayopanda kila siku, madawa, sumu za wadudu, booster. Hapo bado hujaibiwa
Inabidi wasomi watumie elimu zao kukifanya kolimo.kuwa rahisiWe kulima unafikiri mchezo!!!
Kilimo unafikiri ni lelemamaVijana wengi mnakwamishwa na tamaa.
Watu wengi mbona wako huko wanaishi ktk mazingira hayo hayo?
[emoji135]sasa maana ya wao kusoma mpaka vyuo vikuu iko wapi?.... huko huko shule ya msingi si tungewafundisha tu skills za maisha + hicho kilimo then tuwaache waje mtaani...
Tena wewe wa Iringa unahitaju kuchapwa viboko kabisa. Huko kuna utajiri ambao uko wazi wazi kabisa. .Njoo Iringa nikupe shamba heka 5 ulime mwaka mzima halafu uje ulete mrejesho hapa.
Kilimo kinahitaji uvumilivu, mtaji na ukishavuna bei ya mazao yako anapanga dalali au serikali.
Njoo ulime. Ni rahisi sana kuongea ukiwa umeshiba umekaa sebuleni kwako nakuona watu wengine wote wavivu.
Kama Kilimo kinalipa Mbeya, Iringa, Ruvuma na Njombe zisingekuwa na maskini.
NB: bei ya mfuko mmoja wa mbolea ni 120,000.
Hujui kilimo mkuu kaa kimya nayo ni busaraMkuu Hawa wasomi wana laptops za laki 7 mpk milioni 1, wengine wana simu janja za laki 3 mpk milioni. Yote hii ni mitaji tosha kabisa kwa kilimo. Sema Kuna kasumba miongoni mwa wasomi kwamba kilimo ni kwa ajili ya wasiosoma.
Watapata tabu Sana wasipobadilika.
acha tu mkuu Unakuta unaona kaz rahis tu lakn ingia uone mzik wakeTunaofanya miradi ya kilimo tuna cheeka tukiona asiyejua mambo ya shambani anavyo ongea kirahi rahisi tu.
Nililima mahindi kisha akaja myonyaji mmoja anasema nimuuzie mabichi 150/- kwa indi moja nikamtimua sasa nakula ugali mweyewe na kulisha kuku.
Kulima analima Mzee Pinda, lakini hakuna ata mtoto wake mmoja anaekuwa ata supervisor shambani,afungue akili asiandike tu watu wanaumia na mwandiko wake,akae kimyaaaaYeah mkuu wew unaelewa unajuwa Kama unafanya kilimo cha biashara s kirahis kihivo tuko Weng sasa Hiv mpaka matajir wakubwa wanafanya biashara ya kilimo
Parachichi halihitaji mbolea?Tena wewe wa Iringa unahitaju kuchapwa viboko kabisa. Huko kuna utajiri ambao uko wazi wazi kabisa. .
1. Maparachichi yanahitaji mbolea?
2. Miti inahitaji mbolea?
3. Viazi vya chips vinahitaji mbolea?
Vyote hivi vinastawi Iringa lkn wasomi wanabakia kulalama tu.
Mimi nalima mkuu. Nina shamba la maparachichi ekari 2 kule KK TukuyuSio Tu muajiriwa ata watoto zao wanawapa connection ndani ya taasisi majina yanajirudia tu!!!![emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Tatizo mnataka mkiwnzq tu mtoke na hela ndefu. Kubali kupata hasara hata miaka 3 wakati unajifunzaHujui kilimo mkuu kaa kimya nayo ni busara
Itakuwa hukuwa na muda wa kukisimamia kilimo. Ulilima kwa remote (maagizo mengi).Mimi nilipata pesa kidogo kwa kusikiliza watu kama wewe nikasema ngoja nilime nikatumia kama 2m kulima alizeti nje ya muda nikambulia 7k nikawa nimekula loss ya 1.3
Mkuu kwenye miti siyo lazima upate hela kwenye kuuza mti. Kuna biashara ya vitaku vyw miti mkuu inalipa kinyama. Tatizo mnapambana kunishinda kwa kuonesha kwamba kilimo hakifai. Kinafaa wakubwa changamkieni kilimo ila mkipendeParachichi halihitaji mbolea?
Unajua bei ya shamba la miti na hadi uje uvune inachukua miaka kumi a ngapi?
Be serious tajiri.
Yaani mtu huna hata hela ya kula unaenda kununua shamba la miti? Bora hata parachichi kuna hii ya miaka 3. Na uwe na mtaji sio mtu katoka chuo na laki mbili ya boom unamwambia nunua shamba la miti wakati hiyo hata akilima mahindi itaishia kwenye mbolea tu.
Hilo shamba la parachichi umeridhi au umeanzisha wewe, Kama umeanzisha wewe umetumia mtaji kiasi gani the same to michikichi na mpunga halafu angalia ni vijana wangapi wanaweza ku afford hizo gharamaMimi nalima mkuu. Nina shamba la maparachichi ekari 2 kule KK Tukuyu
Nina shamba la michikichi ekari 4 Tabora (siyo Kigoma). Nilisikia kwenye redio nikazitumia hizi fursa.
Muda mwingi napiga mishe yangu Katavi. Nalima mpunga na ninauza pia.
Jamani jitumeni. Ajira hakuna.
Siyo lazima ulime ulipo zaliwa.
Ukiwa na mtaji wa kuanzia na kujaribu tena unakuwa na kiburi cha kusema haya unayosema.Tatizo mnataka mkiwnzq tu mtoke na hela ndefu. Kubali kupata hasara hata miaka 3 wakati unajifunza
Nimelima nikiwa hapohapo na ni mashamba ya nyumbani sikukodi hizo hela nilitumia kwenye mbegu,vibarua usafiri na vitu vingine inshort nilitamani nifanye kilimo ful time job bila kuadhiriwa lakini niliangukia pua Sasa kuna vijana wangapi wamekata tamaa katika mazingira Kama hayoItakuwa hukuwa na muda wa kukisimamia kilimo. Ulilima kwa remote (maagizo mengi).
Nakubaliana nawe. Hata hivyo Kuna watu kibao wanaendesha maisha yao kwa kilimo. Wewe ulienda kubeep, na kilimo ukikibeep kinakupigia