- Thread starter
- #61
Nimesema kwenye uzi wangu kwamba mashamba yanapatikana hiyo mikoa 5 bure kwa maana ya bila gharama. Unajitambulisha kwa mwenyekiti unakatiwa eneo linakuwa lako. Ama Kuna watu Wana maeneo makubwa wanatafuta mtu awe analima ili kupunguza msitu. Jamani ingieni kwenye kilimo.Hilo shamba la parachichi umeridhi au umeanzisha wewe, Kama umeanzisha wewe umetumia mtaji kiasi gani the same to michikichi na mpunga halafu angalia ni vijana wangapi wanaweza ku afford hizo gharama
Ninachotaka kusema inawezekana vijana wanatamani au wanaweza kufanya hizo jitihada lakini hawana nyenzo muhimu kama ulizonazo wewe