Aibu kubwa! Msomi unakosaje kazi ya kufanya nchi hii yenye kila aina ya rasilimali?

Ungekijua kilimo cha sasa wewe! Mi naona shukuru kama umepewa
 
Nakubali kwamba kweli waweza jiajiri ktk kilimo, lakini kilimo kina changamoto nyingi kubwa ni bei ya mazao, haiwezekani mkulima ahangaike miezi kadhaa alime viazi mviringo vyake na huduma mbalimbali halafu mwisho wa siku debe unaambiwa Tshs 4000!

4000, 3000 ndiyo bei ya debe la viazi mviringo huku nyanda za juu kusini (Njombe)

Ama kweli mkulima siku zote yeye ni duni.
 
Umetengeneza hoja yako vizuri sana 👍 tunahitaji cross sectoral approach ie mtu kasoma HR apewe basi idea ya kilimo na ufugaji au ujasiliamali hivyo kwa wahandisi na fani zingine lakini serikali haiwezi kukwepa jukumu la kuweka mazingira wezeshi
 
Niko tyr mkuu nikopeshe mtaji nitakuripa nikivuna kwa riba nafuu nami niingie huenda unarengo la kutusaidia wasomiii . Maana nijaribu kuangalia hiyo ardhi ya bure wakaniambia wanakodisha alfu hamsini kwa ekari .

Mafanikio ni zaidi ya juhudi na akili
 
Mtu ambaye huwa anawaponda wasomi kwa nini hawalimi nabaki namshangaa.

Gharama za kilimo ni kubwa na bei ya mazao ni ndogo. Soko la mazao la ndani si zuri kwa sababu nguvu ya manunuzi kwa Watanzania wengi ni dhaifu.

Mtoa mada unafahamu bei ya mbolea na bei ya mahindi kwa sasa?

Ili kilimo kistawi, ni lazima watu wenye mitaji yao wajenge viwanda ili kupata soko la kimataifa. mfano, vya nguo-(pamba), kusindika mboga mboga (nyanya nk).

Huku nilipo, kuna vijana wanapiga kazi za kulima matikiti kwa gharama kubwa, lakini wanakuja kuuza bei ndogo.

Kule kijijini wazee wanakomaa na kilimo cha kujikimu, na wanafanya hivyo kwa kuwa hawana namna. lakini kiukweli, ni wakulima wachache sana wa Tanzania wanaofurahia kazi ya kilimo kwa kuwapatia faida.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Huku kusoma kwa madesa sio kusoma. Ukijaribu kusoma vitabu vya Library ukaacha kusoma notes ambazo hata hazieleweki, huwezi kumaliza. Halafu tunajiita wasomi. Wasomi kweli???
 
Umeandika madini kweli kweli shida simu unayotumia inaonyesha kabisa haupo serious na maisha!!!!???

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Uliingia mkataba na nani kwamba ukisoma lazima uajiriwe?
 
Mkuu kilimo cha kisasa lazima uwe na mtaji, na siyo wote waliosomea kilimo......wengine ni magwini wao wanataka kuucharaza mdomo tu pesa iingie.
 
[emoji3581]
 
Tatizo mnataka mkiwnzq tu mtoke na hela ndefu. Kubali kupata hasara hata miaka 3 wakati unajifunza
Iyo hasara kwa mtu ambaye unasema auze laptop yake na simu,mtaji wa kuchoma Moto mara tatu utampa wewe, dada tulia ujue tunakutukana kimyakimya usije tufanya tukayaweka kwenye keyboard
 
Acha uongo wewe , Takwimu zako za kijinga umezitoa wapi?



 
Achana nae, hao ndio wanakuwaga na masponsor kazi Yao kuona wenzao wezembe tu, kumbe anatuletea Mambo ya majaribio mtu akiwa anavumilia hasara mara 3 .DU!!
 
Kwa huu mtazamo wenu enyi wasomi msio na ajira hatuwaajiri maana mnaonekana mtatuibia watanzania ili mpate maendeleo ya haraka.
 
Achana nae huyo ajitambui
 
Ajitambui huyo achana nae
 
Umeandika madini kweli kweli shida simu unayotumia inaonyesha kabisa haupo serious na maisha!!!!???

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nipo sirias na maisha ndiyo maana nina simu hii. Sina uwezo wa kununua sumsung mana yatakuwa yale yale, ukiomba mtaji unaambiwa, "Uza simu yako ndiyo mtaji. Unamiliki simu ghali halafu huna hela?"

Hivi nawezaje kuiondoa hiyo tag katika post zangu inayoonesha aina yangu ya simu?

Binafsi, katika miaka hii niliyoishi tangu nianze hustle za maisha, nimejifunza mengi sana kuhusu maisha ya Tanzania na umaskini kwa vijana, kwa sababu nimeanza kwenye zero point, tena kijijini mpaka mjini. Kikubwa ni kutokata tamaa, ni kupambana mpaka kufa.



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hajitambui huyo achana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…