Ngoja tukomeshe sasa waliopo nyuma yake waumbuke, Eng Shikilia hapo hapo usiache moja wakome, tena bora aende huko CAS tupigwe fine tutalipa ndegles kabisaInawezekana kuna aibu wanataka kuificha, ila mbona rahisi sana. Mpige fain fei, mruhusu aondoke. Discussion inakwisha. Hapa sasa hivi unaleta sauti mara mwenzako anakuja na video na tuhuma za ajabu mnazidi kuzalilishana.
Sasa mnabania wa nn huyo kichaa km hamuwezi kushindana nae? Si mumuachie aondokee, au kichaaa chake mnakipenda sanaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unashindana na kichaa?
Sio clouds wala Feisal watakaowafunga Yanga miguu wakiwa uwanjani, hizo hujuma zitatoka wapi ?......tafuteni sababu zingine mkifungwa ila hii haina mashiko.Aibu gani inafichwa?!?! Mahojiano yaliyofanyika yameonesha. Upeo mdogo was Fei na ni aibu kubwa Kwa Clouds kuwa sponsored kufanya mahojiano hayo kipindi hiki katika jitihada za kuihujumu Yanga na mechi ya marudiano na Algers..
Duh hujui kitu tuliaMakolo bhn,mtumiege akili sometimes mjue kutofautisha sauti Genuine na za kutengeneza..Hahiitaji ushabiki kujua hii sauti ni genuine japokuwa mimi sijaona la ajaby sana lililoongeleka na kama unabisha hiyo sio sauti ya Feitoto nakupa namba yake anayoitumia(sio ile ya kuchangiwa michango) mpigie jifanye tu kama umekosea halafu uje utofautishe sauti utakayosikia na hii
Ngoja tukomeshe sasa waliopo nyuma yake waumbuke, Eng Shikilia hapo hapo usiache moja wakome, tena bora aende huko CAS tupigwe fine tutalipa ndegles kabisa
Watu wabaya sana huyu dogo anapotea sasa.Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea.
Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua?
Hivi huyu hana management?
Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
Amesema alisha kutana na hao viongozi wa Yanga kuhusu yeye kuondoka wakakataa, baadae yeye alitumia kifungu cha mkataba kuvunja km kinavyo dai, bado wao yanga hawataki.Sasa unavunjaje mkataba bila kukutana na mwajiri? Sasa saini ataweka instagram au facebook? Aende wakaongee na yanga wavunje mkataba! Ana chuki na Eng kwasababu Eng amesajili wachezaji hatari kuliko yeye kwahiyo anamchukia hersi kwasababu ameleta wapinzani wa kumfunika.
Hata kama sio wakili mzee ishu hapo ji ukweliUna maanisha Kipanya ndiye Wakili wake/Mwanasheria?
Kipanya si anapaswa kuwa kwenye neutral ground?
Zanzibari hawapendi vitu vichungu au vichachu. Ndo maana.Wapo wanao kula ugali na chumvi au limao mpaka sasa vijijini, hata mm nimewah kula miaka ya tisini,
Ila kula ugali na sukari hii labda kwa huko Zanzibar
Hapo sasa madunduka wana shida sanaWaache kuwa busy na fainali wawe busy kumjibu mlevi wa kahawa!?
Akilipa faini akaondoka ni mshindi na akilipwa faini akaondoka ni mshindi. Kumkomoa labda afungiwe asicheze soka.Ngoja tukomeshe sasa waliopo nyuma yake waumbuke, Eng Shikilia hapo hapo usiache moja wakome, tena bora aende huko CAS tupigwe fine tutalipa ndegles kabisa
Ni yeye kabisaMna uhakika mwenye hiyo sauti ni Yeye Masoud Kipanya (KP).
Kwa credibility yake KP sidhani kama atafanya hivyo.
Amesema alisha kutana na hao viongozi wa Yanga kuhusu yeye kuondoka wakakataa, baadae yeye alitumia kifungu cha mkataba kuvunja km kinavyo dai, bado wao yanga hawataki.
Na anasema alikutana na Hersi ili wazungumzie hatma yake, yeye alijibiwa kuwa arudi kambini kwa team kuendelea na majukumu yake ya uchezaji, na fei hataki hilo. Sasa afanyeje?
Hebu muwe mnafuatilia jambo bila muhemko. Lol
Aibu gani inafichwa?!?! Mahojiano yaliyofanyika yameonesha. Upeo mdogo was Fei na ni aibu kubwa Kwa Clouds kuwa sponsored kufanya mahojiano hayo kipindi hiki katika jitihada za kuihujumu Yanga na mechi ya marudiano na Algers..
Faisal ana elimu gani? Ninavyomuona na mambo yake kama asiyejielewa hivi!Clouds fm ni kituo cha redio kilichojijengea umaarufu kwa muda mrefu tangu enzi za marehemu Ruge. Lakini kwasiku za hivi karibuni heshima ya clouds imeshuka Sana.
Mfano mzuri ni hiyo clip iliyovuja Masoud kipanya akimkaririsha Feisal MANENO ya kuongea alaf yeye mwenyewe ndo akaenda kumfanyia mahojiano!
Hii inatia kichefuchefu na inaichafua brand kubwa Kama clouds fm. Nashauri mmiliki wa kituo hicho amfute kazi mara moja kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Ngoja tuone ukifanyika uchunguzi, isije kuwa wameamua kumuangushia jumba bovuNi yeye kabisa