mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Sorry, nilikuwa sijafahamu kwamba ni Mlinzi wa Legacy lakini ukweli kuhusu kurejesha uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na Israel ulianzia hapa:-
Lakini, ili kulinda legacy ya Mheshimiwa Magu, basi tuendelee kusema yeye ndie alirejesha uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na Israel.
Mchakato wa hii pesa umeanza zaidi ya miaka10 iliyopita. Kila kiongozi amekua kwenye kuhakikisha hili linafanikiwa na hatimae tumefika hapa