Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575B kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70

Sorry, nilikuwa sijafahamu kwamba ni Mlinzi wa Legacy lakini ukweli kuhusu kurejesha uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na Israel ulianzia hapa:-

Lakini, ili kulinda legacy ya Mheshimiwa Magu, basi tuendelee kusema yeye ndie alirejesha uhusiano wa kibalozi kati ya Tanzania na Israel.

Mchakato wa hii pesa umeanza zaidi ya miaka10 iliyopita. Kila kiongozi amekua kwenye kuhakikisha hili linafanikiwa na hatimae tumefika hapa
 
Mchakato wa hii pesa umeanza zaidi ya miaka10 iliyopita. Kila kiongozi amekua kwenye kuhakikisha hili linafanikiwa na hatimae tumefika hapa
Wote mko sahihi ila Tanzania kwanza,
 
Maeneo ambayo huwa siingizi siasa ni kwenye masuala ya uchumi, na nikikosoa, nitafanya hivyo kwa kuangalia nadharia na principles za kibiashara na kiuchumi!!
😍😍😍😍
 
Mkuu ww umenielewa tofauti na vilaza wengine waliojaribu kuni-quote bila kuelewa wana-quote nini!..
BTW, pia kuna wale jamaa wa City Water (wahenga wenzangu mnaweza kuwakumbuka) aliwaleta Bw Mamvi, walikuja na laptop na kuvuna walichovuna pale DAWASA aka NUWA.. I can't guess pia jamaa waliletwaga ku-run TANESCO wakakausha mabwawa yote na kuleta mgao mkubwa wa umeme kama nao walikuja na chochote zaidi ya laptops! Wadanganyika nimewavulia kofia kwa ujinga na upumbavu!
Ushahidi Upo Mwingi Ila Baadhi Wanajitoa Akili Tu
Mfano Mlimani City Hao Jamaa Hawakuja Na Kitu Lakini Wameondoka Matajiri. CHUO KIKUU DAR ES SALAAM
Kuna Wajuzi Ila Tulipigwa Asubuhi Yaani Kweupe
 
Hawa sio wale wa Mwenge njia ya kakakola wamejinyumbulisha na kuja kivingine.
 
Nchi inaanza kufunguka, wawekezaji wameanza kuona usalama wa kuwekeza fedha zao. Pongezi kwa serikali ya awamu ya sita.
 
Naona bado unaamini Rufiji na FlyOver zimekuja kwa cash money. Labda zile ndege ila hatukuambiwa hiyo hela inatoka wapi.
hujanielewa wewe. hayo unayosema ni mikopo kutoka world bank. huyo mwekezaji wako kaja na briefcace na makaratasi tu. hajaja na mtaji wowote. mtaji wake anapewa na local commercial bank za hapa hapa nchini ambazo benki hizo hizo zimegoma kuwakopesha wakulima wa ndani. na ndiyo sababu amekuwa guaranteed na Tanzania Bankers Association.

Si kila jambo unalijibu hata kama liko juu ya uelewa wako wa mambo
 
Waisraeli nyerere aliwazingua kwa kuingia kwenye siasa za mgogoro kati ya israel na wapalestina na israel wakaamini kwamba yupo upande wa wapalestina, leo hii tungekuwa mbali sana kiteknolojia kwa upande wa kilimo, mifugo na hata uvuvi....na hivyo tungekuwa exporters wakubwa wa mazao ya kilimo duniani, huu umaskini na ufukara wa watu tungekuwa tunasikia kwengine.
 
Hawa wa Israel wanaanzisha Makampuni lakini ndani ya hiyo kampuni kuna kuwa na kitengo cha ujasusi.
Utaona kampuni kwa nje na inafanya kazi iliyoelekezwa na kilimo kinafanya kumbe kuna kazi nyingine inafanyika ya ujasusi.
Wafanyakazi wa kubwa ni watu wenye mission zao.
Kuna kampuni nyuma huko ilikuwa inaendesha shughuli zake Tanzania baada ya kampuni kutoka kufungwa,watu wakajuwa kuna ujasusi ulikuwa unafanyika kwenye Nchi zetu
Hongera sana mh.Rais Samia. Lakini mwachie Mbowe anaonewa na jina la JMT linachafuka bila sababu za msingi. Pia achia Demokrasia, fuateni sheria na heshimuni haki za mtu. Ni hatua nzuri ya kiuongozi kutambua dhima ya Kilimo kwa nchi yetu na kijua nani ushirikiane nae kwa faida. Mwalimu Nyerere alijua nguvu ya Israel eneo hilo ( japo siasa za Israel/Palestine zilitugombanisha) na nakupongeza mno umekuta hilo file library Ikulu na kulirejea. Kuhusu ujasusi, hilo as long as uko sayari hii na una economic potential ya aina yoyote, hili linatangulia wala sio la kuwa shaka nalo. .Wako kama wote. Lakini sidhani kama kwa level ya nchi yetu kuna siri hawa wayahudi hawaijui. Tuko uchi mno. Fikiria tu hiyo kesi ya Mbowe jinsi elements za uJWTZ na Police zinavyoziacha nchi uchi. Ukisharuhusu community ya walinzi wa usalama wa nchi inagawanyika kati ya wadhulimati na wadhulumiwa kubali ku suffer the consequences. Otherwise hongera Rais wetu.
 
Hiyo cha mtoto ajira 70,000 tu ? awamu iliyopita kwa miaka 4 walitoa ajira MILIONI NANE walisema hivyo wakati wa kampeni
 
Your comments are always make me happy,

Uishi milele mkuu Opportunity Cost
Kazi inaendelea 👇

Screenshot_20210929-141611.png

Screenshot_20210929-141659.png

Screenshot_20210929-141811.png

Screenshot_20210929-142011.png

Screenshot_20210929-141517.png
 
Hongera mama Samia kilimo kuna potential kubwa sana sababu tuna large arable land, huu ni mwanzo Mzuri hongera sana
 
Nilishawahi kuonya huko nyuma, uwekezaji kwenye kilimo ufanywe na wazawa (yaani raia). Maana nchi ni ardhi, kurudisha wageni kulimisha raia ni ukoloni mpya kwa njia ya uwekezaji. Hivi nchi yetu imeshindwa kutengeneza wawekezaji wazawa hadi tunahitaji wageni kutuzalishia chakula ndani ya nchi yetu. Tunashindwa kuzalisha chakula wenyewe hadiu wageni. Hivi sis tunaweza nini kama hata kulima tunashindwa!!
Very BIG point

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana mh.Rais Samia. Lakini mwachie Mbowe anaonewa na jina la JMT linachafuka bila sababu za msingi. Pia achia Demokrasia, fuateni sheria na heshimuni haki za mtu. Ni hatua nzuri ya kiuongozi kutambua dhima ya Kilimo kwa nchi yetu na kijua nani ushirikiane nae kwa faida. Mwalimu Nyerere alijua nguvu ya Israel eneo hilo ( japo siasa za Israel/Palestine zilitugombanisha) na nakupongeza mno umekuta hilo file library Ikulu na kulirejea. Kuhusu ujasusi, hilo as long as uko sayari hii na una economic potential ya aina yoyote, hili linatangulia wala sio la kuwa shaka nalo. .Wako kama wote. Lakini sidhani kama kwa level ya nchi yetu kuna siri hawa wayahudi hawaijui. Tuko uchi mno. Fikiria tu hiyo kesi ya Mbowe jinsi elements za uJWTZ na Police zinavyoziacha nchi uchi. Ukisharuhusu community ya walinzi wa usalama wa nchi inagawanyika kati ya wadhulimati na wadhulumiwa kubali ku suffer the consequences. Otherwise hongera Rais wetu.
Hiyo kazi ya mahakama mkuu
 
Ushahidi Upo Mwingi Ila Baadhi Wanajitoa Akili Tu
Mfano Mlimani City Hao Jamaa Hawakuja Na Kitu Lakini Wameondoka Matajiri. CHUO KIKUU DAR ES SALAAM
Kuna Wajuzi Ila Tulipigwa Asubuhi Yaani Kweupe
😍😍😍😍 But haijirudii mkuu
 
Back
Top Bottom