Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

Mbowe na CHADEMA yake sasa wanaonekana dhahiri kwamba wamepoteza dira na hawana lolote jipya wanachoweza ku-offer kwa Watanganyika.
Chama ambacho kinataka dola kila kukicha ni kulialia tu, sasa wananchi wanalia na CHADEMA nao wanalia sasa nani atamsaidia mwenzake..
Siasa za kutafuta huruma kutoka kwa wananchi zimepitwa na wakati. Kweli leo hii MBOWE bado natuletea siasa ambazo MREMA alikuwa nazo miaka 30 iliyopita?
Wizi wa KURA kwa CCM siyo jambo geni wala jipya kwetu,, kilichotakiwa ni yeye kutupa solution ya hilo na si kulia kulia..
Wanapofeli MBOWE na CHADEMA yao ni kupambana kwa style ya kutafuta huruma ambayo haitowaletea tija,, kama wanataka kuing`oa CCM inabidi wawashawishi wale watu ambao huwa hawapigi kura ambao asilimia kubwa ukiangalia ndo wamechoshwa na CCM.
Kama CHADEMA inaweza kutembelea mara kawa mara kila KATA ya nchi hii na kuwaelezea Watanganyika wa kata husika walipokwamishwa na CCM na nini CHADEMA itafanya kubadili maisha yao itaamsha watu..
Lakini huku kulialia kila siku haina msaada wowote na wataendelea kulia tu..
 
Tanzania Cham cha upinzani ni moja tu CHADEMA. Hivo vyama vingine vyote ni mamluki wa wa Chama tawala na lengo la hivyo vyama ni kupambana na CHADEMA. Siyo vya vya upoinzani kwa CCM bali kwa CHADEMA.
 
Vyama vingine siyo vya upinzani bali ni Jumuiya za CCM!
 
Tanzania Cham cha upinzani ni moja tu CHADEMA. Hivo vyama vingine vyote ni mamluki wa wa Chama tawala na lengo la hivyo vyama ni kupambana na CHADEMA. Siyo vya vya upoinzani kwa CCM bali kwa CHADEMA.
kwahiyo kinapambana na upinzani au chama Tawala 🀣

na hiyo chadema haina sera hata ipambane kwa chuki na uhasama na migawanyiko? sasa watamshinda nani kindezi hivyo gentleman πŸ’
 
Hakuna umoja wa Kitaifa hapa, Zanzibar wako kivyao na Tanganyika inazidi kukandamizwa chini. Hivi umeshawahi kuwalalamika kwanini Wazanzibari wana bendera yao na rais wao? Huko si ndiyo kuchochea mgawanyiko?
 
migawanyiko ndani ya chadema sio suala la kitaifa gentleman, hayo ni mambo yao binafsi wayataftie ufumbuzi binafsi..

Kama Taifa tupo imara na hakuna mawenge wala mbambamba, tunasonga mbele pamoja kama Taifa moja Tanzania πŸ’
 
Vyama vingine siyo vya upinzani bali ni Jumuiya za CCM!
kuna ubaya gani hata wakiunda UKAWA tena gentleman,

si ni uhuru na haki yao kikatiba? kwani kuna mtu wa chama kingine aliwafokea kama anavyofanya chairman Mbowe?

kugakamia konyagi kazini sio kitu kizuri ujue gentleman 🀣
 
mwalimu mkuu wa chuki binafsi ni ccm katika siasa za tanzania
 
Bila ya kuwa na tume ya uchaguzi independent hayo yote ni porojo tu. Kwa utaratibu huu na namna hii ya tume labda kwa coup d'etat ndiyo watatoka.
 
mwalimu mkuu wa chuki binafsi ni ccm katika siasa za tanzania
Gentleman,
Senior Lecture wa kuchochea migawanyiko, uhasama na chuki ndani ya chadema na miongoni mwa vyama vya siasa vya upinzani nchini ni chairman wa Chadema Taifa Freeman Aikaeli Mbowe, kweli si kweli?πŸ’
 
Bila ya kuwa na tume ya uchaguzi independent hayo yote ni porojo tu. Kwa utaratibu huu na namna hii ya tume labda kwa coup d'etat ndiyo watatoka.
kwamba chairman Mbowe afanye coup d'etat 🀣

uchaguzi mkuu wa Oct 2025 ni wa kikatiba na utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kelele za walevi fulani sijui kutoka chama gani huko πŸ’
 
Kila siku CHADEMA CHADEMA CHADEMA hamna kingine cha kufanya ???
Yes,
ni waongo, walevi na wana chuki mno gentleman,

kwahiyo lazma kusema ukweli ili ukweli uwaweke huru πŸ’
 
Hivi inakuwaje mtu mzima unajipingda kuandika upumbav hivi
 
Aikaeli Mbowe ni baba yake Freeman Mbowe na alishafariki miaka mingi iliyopita, unataka kusema nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…