Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Friends, ladies and gentlemen.

Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?

Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.

Kitendo cha Mwenyekiti wa wa chadema taifa, Freeman Aikaeli Mbowe kuonyesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa vya upinzani, na kujaribu kuvikaripia kwa ukali na pengine kuvielekeza kufikiri kama inavyofikiri chadema, kinaashiria udikteta wa wazi kabisaa.

Je,
huku sio kuingilia uhuru, haki, uelekeo na mipango mikakakati ya vyama vingine vya siasa kadiri wanavyoona inafaa?

huu ni wivu tu au ndiyo udikteta unajipambanua mapeeeemaaaa ili iwe rahisi kwa uma kuudhibiti vizuri kwenye sanduku la kura?

Ni dhahiri chadema haina ushawishi ndani ya chadema yenyewe, haina ushawishi katika upinzani kwa ujumla, na zaidi sana haiaminiki wala haina ushawishi kwa raia na wapiga kura tena. Imebaki na press conference, matamko na kushinikiza tu vyama vingine vya siasa vifanye nini.

Yaani vyama vya upinzani badala ya kushawishiana kwa hoja, kushauriana kama ndungu na kuhubiri umoja miongoni mwa upinzani, eti Freeman Aikaeli Mbowe anahubiri, anachochea na kuhamasisha chuki na utengano miongoni mwa vyama vya siasa. Kweli upinzani, hasa chadema una nia njema na taifa hili ndrugo zangu?

Ni wazi chadema katika ujumla wake, haina dhamira ya kufanya siasa safi, wala haina mipango ya kushinda uchaguzi, ima kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi wala kuwatumikia wananchi,

Bali chadema ina lenga kuchochea chuki, uhasama na kuligawa taifa katika misingi ya vyama miongoni mwa wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini na kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya siasa hasa upinzani, visifanye kazi na majukumu yao kwa uhuru kadiri ya malengo na mitazamo yao, bali vifanye siasa kadiri chadema inavyotaka.

Migawanyiko, chuki na uhasama ndani ya chadema, sasa inachochewa na chadema yenyewe hadi katika vyama vingine vya siasa vya upinzani nje ya chadema. Ni dhahiri kuna tatizo chadema.

Unadhani Chadema ina feli wapi hata kufikia hatua ya kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani nchini, na asasi za kiraia zenye mipango, malengo na maono yao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ccm daima
 
Kwani inakusanya kodi? We mjinga waliopoteza dira ni wale wanao kusanya kodi za nchi hii
huenda kuhubiri chuki na kuchochea uhasama kwa Freeman Aikaeli Mbowe dhidi ya vyama vya upinzani kunaongeza mamilioni ya wafuasi kwa chadema na chadema inakua imara zaid 🤣
 
Hivyo vyama vingine vinaipenda chadema?

Vile ni vyama vya upinzani au matawi ya ccm sasa?
Gentleman,
kwahiyo Freeman Aikaeli Mbowe kaumia na kuchukia sana sana kwa sababu ya hilo, right?🤣
 
Uroho,uchu na tamaa ya madaraka ndio vimewajaa.
dah,
kufilisika hoja ni kitu mbaya sana aise,

Eti Freeman Aikaeli Mbowe anagomba kabisa aise, dhidi ya uhuru na haki za vyama vingine vya siasa vya upinzani kufanya mambo yao kadiri wanavyoona inafaa 🤣
 
Kinachotakiwa ni hoja zenye nguvu, weledi na ukweli katika kujenga jamii na taifa kwa ujumla. Zaweza kutoka chama chochote, iwe CCM au upinzani.
Mambo ya kipuuzi ni ya kipuuzi tu, bila kujali chama.
 
Friends, ladies and gentlemen.

Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?

Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.

Kitendo cha Mwenyekiti wa wa chadema taifa, Freeman Aikaeli Mbowe kuonyesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa vya upinzani, na kujaribu kuvikaripia kwa ukali na pengine kuvielekeza kufikiri kama inavyofikiri chadema, kinaashiria udikteta wa wazi kabisaa.

Je,
huku sio kuingilia uhuru, haki, uelekeo na mipango mikakakati ya vyama vingine vya siasa kadiri wanavyoona inafaa?

huu ni wivu tu au ndiyo udikteta unajipambanua mapeeeemaaaa ili iwe rahisi kwa uma kuudhibiti vizuri kwenye sanduku la kura?

Ni dhahiri chadema haina ushawishi ndani ya chadema yenyewe, haina ushawishi katika upinzani kwa ujumla, na zaidi sana haiaminiki wala haina ushawishi kwa raia na wapiga kura tena. Imebaki na press conference, matamko na kushinikiza tu vyama vingine vya siasa vifanye nini.

Yaani vyama vya upinzani badala ya kushawishiana kwa hoja, kushauriana kama ndungu na kuhubiri umoja miongoni mwa upinzani, eti Freeman Aikaeli Mbowe anahubiri, anachochea na kuhamasisha chuki na utengano miongoni mwa vyama vya siasa. Kweli upinzani, hasa chadema una nia njema na taifa hili ndrugo zangu?

Ni wazi chadema katika ujumla wake, haina dhamira ya kufanya siasa safi, wala haina mipango ya kushinda uchaguzi, ima kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi wala kuwatumikia wananchi,

Bali chadema ina lenga kuchochea chuki, uhasama na kuligawa taifa katika misingi ya vyama miongoni mwa wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini na kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya siasa hasa upinzani, visifanye kazi na majukumu yao kwa uhuru kadiri ya malengo na mitazamo yao, bali vifanye siasa kadiri chadema inavyotaka.

Migawanyiko, chuki na uhasama ndani ya chadema, sasa inachochewa na chadema yenyewe hadi katika vyama vingine vya siasa vya upinzani nje ya chadema. Ni dhahiri kuna tatizo chadema.

Unadhani Chadema ina feli wapi hata kufikia hatua ya kuingilia uhuru na haki za vyama vingine vya upinzani nchini, na asasi za kiraia zenye mipango, malengo na maono yao?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ni kujenga upinzani imara na jamii kukichukia chama dola, (CCM)

Uncertainty, (changamoto), husababishwa na 1. Taarifa, (Information), 2. Mjanga,(disaster), 3. Binadamu

Taarifa:
Anaye tafsiri taarifa vibaya, (uwezo mdogo wa kufikiri), humsababishia changamoto

Majanga:
Huwezi kuzuia changamoto itakayo sababishwa na janga liwe la ki Mungu ama la kibinadamu

Binadamu :
Binadamu hujisababishia changamoto kwa uzembe, wivu, Ujinga ,hasira na ushamba
Binadamu anaweza msababishia changamoto binadamu mwingine kwa kutokujua, (uzembe), ama makusudi mfano hai changamoto zinazo sababishwa na watu wasiojulikana

Hitimisho binadamu ana akili sana, lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri lakini akipata changamoto anazitatua kumbe binadamu akipata changamoto ,(mtihani), uwezo Wake wa kufikiri huongezeka yaani huamsha ubongo anapo fanya hivyo hukutana na bunifu mbalimbali, (innovations)
 
Kinachotakiwa ni hoja zenye nguvu, weledi na ukweli katika kujenga jamii na taifa kwa ujumla. Zaweza kutoka chama chochote, iwe CCM au upinzani.
Mambo ya kipuuzi ni ya kipuuzi tu, bila kujali chama.
umeeleza vizur mno jambo la maana sana, na hivyo ndivyo siasa inafaa kua.

halafu muhimu zaidi,
ikiwa chama Fulani kimetoa au kuibua hoja Fulani ya maana au hata kama si ya maana, chama makini yafaa kuja na wazo jipya na fikra mbadala na bora zaidi dhidi ya hoja husika..

na hapo ndipo panaweza kutokea ushawishi na kuuangana mkono na hatimae kua wenye nguvu zaidi 🐒
 
Ni kujenga upinzani imara na jamii kukichukia chama dola, (CCM)

Uncertainty, (changamoto), husababishwa na 1. Taarifa, (Information), 2. Mjanga,(disaster), 3. Binadamu

Taarifa:
Anaye tafsiri taarifa vibaya, (uwezo mdogo wa kufikiri), humsababishia changamoto

Majanga:
Huwezi kuzuia changamoto itakayo sababishwa na janga liwe la ki Mungu ama la kibinadamu

Binadamu :
Binadamu hujisababishia changamoto kwa uzembe, wivu, Ujinga ,hasira na ushama
Binadamu anaweza msababishia changamoto binadamu mwingine kwa uzembe ama makusudi mfano hai changamoto zinazo sababishwa na watu wasiojulikana

Hitimisho binadamu ana akili sana binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri lakini akipata changamoto anazitatua kumbe akipata changamoto ,(mtihani), uwezo Wake wa kufikiri huongezeka yaani huamsha ubongo anapo fanya kivyo hukutana na bunifu mbalimbali, (innovations)
Gentleman,
Yaani ujenge upinzani imara kwa chuki tu ya kuchukia dola bila hoja, right?🤣

kwamba wewe na chama chako mnapita huko mtaani kwenye mikutano ya hadhara na kurecruit watu na kuwajaza chuki na migawanyiko dhidi ya dola, right? sasa si mtajikuta ni nyinyi wa4 tu miaka nenda miaka rudi?🤣

Mi nadhani ni muhimu kwa chama cha siasa makini, kua na ushawishi wa kisera na mipango dhidi ya wapiga kura na vyama vyao vya siasa, kuunganisha nguvu ya mawazo na nguvu ya wingi wao na hatimae kuyafikia malengo ya kushinda uchaguzi na hatimae kuongoza nchi...

Kuhubiri migawanyiko, chuki na uhasama ni kujidhofisha mwenyewe kwasabb huna numbers, huna ushawishi, huna financial muscles na huna sera za maana na kwahivyo huwezi kufanya chochote 🐒
 
Soma na kuelewa dhana,(concept), inamaana wewe rafiki yako akifanyiwa kitu kibaya huwezi kuelewa? Unataka tuwe tunaandika mifano hai ambayo haijengi nyumba,(Taifa), jifunze kuhusu ,"social inference", tafadhali

I have tried to make a general description about uncertainty

Nimejaribu kuelezea kuhusu changamoto, (uncertainty), si busara kutumia mifano ambayo haijengi jamii, vile vile siwezi kufikiri unavyotaka wewe

Am not closed minded
 
My friend,
mimi silazimishi mtu kufikiri kama Freeman Aikaeli Mbowe anavyolazimisha vyama vya upinzani nchini vifikiri kama inavyofikiri chadema. No, mimi si and hivyo,

Be free to think and decide your way..

mimi naamini katika umoja halisi wenye nguvu ili kuyafikia malengo mahususi kwa uhakika na haraka zaidi.

kuhubiri chuki na kuchochea migawanyiko na dhana za kufikirika ni kujidanganya na kujichelewesha tu.

Lakini pia huenda ni kichaka cha kuficha kufilisika kisiasa, kiuchumi au kifikra 🐒
 
Proverbs 29:9
 
Back
Top Bottom