Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

Muongo, Mchoyo, Mbinafsi, Mwenye roho mbaya, Katili, mwenye dharau, majivuno, kiburi, jeuri na mjuaji.
Yaan hizi sifa zooooote anazo fala aliyenioa aisee mpaka nakoma mbona.kwenye ujuaji sasa hapo ndio basi yaan mpaka kichefuchefu
 
Mtu anayenipa nipa ushauri sana kama vile tafuta hela, tafuta kazi... Ma**e kwani mi sijui nachokifanya, sipendi watu wa namna hii. Haitakula hata week naachana nae.

Sent from my Infinix Zero 4 Plus using JamiiForums mobile app
 
Aiseee.
Sasa kwa nini akuambie hayo? Ulishakutana na mmoja wa hivo?
 
Pole sana.
Ni kweli hauna hela na hauzitafuti?
Santee!!! Hela zinatafutwa daily. Mawazo yao tu yanawatuma hivo. Mi napenda mtu ananiuliza leo wapi? Nakuja, au njoo tunaongea vitu vya uongo na ukweli show!! Sio mambo ya ushauri wa pesa na kazi...

Sent from my Infinix Zero 4 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ananuka K sio fresh bhana mwanamke kunuka K mbn kawaida tuu inapiga tuu mzigo unasepa mbn safi tuu...
 
Natafuta zangu na bado nahudumiwa, wanaume mmeumbwa kuwa providers msitumie nguvu kubwa kubadili hilo kamwe halitobadilika..!
Hebu tafuta pesa za kutosha uhudumie mke na familia yako, Acha uzembe na vijisababu.!!
Aliyekwambia mimi mzembe ni nani wewe tegemezi? unatafuta hela zako huku unajiapisha kua hutakua na Mwanaume bahili? huoni kua hapo hujiamini? Achana na fikra za zama za Mawe,jitegemee na sio kutegemea nguvu za mwingine,tafuta hela zako acha kukasirikia watu kwa hela zao,tafuta zako.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Poyeeeh'..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…