Aisee, wanawake mtatunyoosha, hii clip imenifikirisha sana, naenda kupima DNA watoto wangu wote

Kwaio tunaenda na huyo manzi au najichukulia sample kisirisiri?
 
Hii nzuri sana. Waafrika kiukweli tulikua na tamaduni nzuri, kuigaiga ndk kunatupoteza
 
Daaah basi ndo maana uhayani zile traits unaweza kuzikuta ukoo mzima, ziwe nzuri au mbaya, iwe akili au ujinga. Hii njiq ni nzuri sana, nadhan hata uarabuni wanafanya hivyo
 
Kitanda hakizai haram [emoji23][emoji1787]
Mtalea mabao ya walowalia wake zenu bure.

Yaan jitu umeliacha likutomb33 mke wako bado unalilelea mtoto wake. Ndo maana kuna watoto wanauwa baba zao sababu unakuta sio baba zao halisi.

Hii ni kwa wote mnaosema kitanda hakizai haramu kujustify huu upuuzi
 
Ndio haya nnayowaambia hawa wanaosema kitanda hakizai haramu.

Mimi nmeshuhudia familia kama mbili unakuta watoto ni wanne ila kuna limoja halijachukua kabisa tabia za baba yake.

Kuna mzee tuliwahi fanya nae kazi Barrick kule kakola, alikua na watoto wa kiume watatu, wiwili (wakwanza na wa mwisho) wameiga kila kitu kuanzia heshima hadi akili. Ila yule wa katikati sasa aiseee ni muhutu kabisa, kwanza ana kiburi, yaan unaweza kwenda kumtembelea baba ake hata lisikusalimie japo wenzake wote wanakusalimia.

Baadae huyo dogo alikuja kumuibia hela mzee wake zaidi ya 5M akatokomea asikojulikana na sijawah sikia story zake tena...

Waache waendeleee kusema kitanda hakizai haramu
 
Nyie mbegu zenu zikoje mpaka mkapime DNA kwa hiyo huyo mtoto hajatokea na chochote kutoka kwa baba!
Mtoto kama ni mdogo ni ngumu kujudge, mkubwa ana 4 yrs, mdogo ana 1 yr. Dawa ni DNA tu mambo ya kuangalia macho duniani wawili wawili chief
 
Mimi nikipiga kitu. Kinakujaga dizain yangu damu yangu kali sana sihitaji DNA
 
Hao ndio wanapigwa na kuleta migogoro kwa kutambua DNA kupitia hisia na maoni binafsi ya watu.

Ikumbukwe kuna uwezekano mkubwa wa kuzaa mtoto asiyefanana na Baba wala Mama kutokana na muungano wa Genes. Sasa kama unatumia hisia za mfanano hasa kwa hao wazee ni hatari sana
 
Ili ikusaidie nini? Wewe Lea katika hao Watoto wote wawe wa Nje au vinginevyo hawawezi fanana akili..

Mfano Mimi mama aniambie huyo sio baba Yako na kanilea Sasa baba yangu Mimi awe hai au kafa atakuwa na maana gani ikiwa hajanilea? Yupi wa maana aliyenilea au baba yangu wa damu aliyenipotezea?
 
Una uwezo wa kuvumilia majibu
 
Uvivu wao tu, majibu ya ukweli yatoke halafu kama mwanamke kadanganya tunambana aseme baba ni nani, na huyo baba ndo anapelekewa mzigo. Ila mara nyingi wanawake wanajua mhusika ni nani, ni vile tu wanaamua kutuumiza
Kama hana uwezo? Au mimba iliingia kisa mwanamke kuchepuka Je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…