Aisee, wanawake mtatunyoosha, hii clip imenifikirisha sana, naenda kupima DNA watoto wangu wote

Aisee, wanawake mtatunyoosha, hii clip imenifikirisha sana, naenda kupima DNA watoto wangu wote

Utaratibu ni rahisi kabisa, tafuta wakili (unaweza nitafuta mimi pia) kisha mtaenda ofisi za mkemia kanda kama hamuishi Dar es salaam.

Kule kwa mkemia mtapewa semina fupijuu ya swala zima la DNA, kisha mtachukuliwa sampuli zitakazohifadhiwa na kwenda kupimwa.

Hii michakato inahusisha watu tofauti tofauti hapo kwa mkemia hivyo kuchakachua sio rahisi kiasi hicho. Majibu ya DNA atapewa Wakili na yeye wakili ndio atakayekuja kuwapatia ninyi majibu ila hatawapa muondoke nayo sababu yeye ndiye mwenye dhamana ya kuyahifadhi (sio mali yenu)

MUHIMU KUFAHAMU:
1. Hautaweza kupima na kupatiwa majibu bila ama amri ya Mahakama au Wakili, ukienda wewe binafsi hutofanikiwa

2. Majibu ya DNA Testatapatiwa wakili wenu na yeye ndiye atakayewasomea na kubaki nayo ili ayahifadhi

3. Malipo ya kwa mkemia ni 100,000/= kwa kila sampuli malipo ya wakili itategemea na wakili husika akizingatia heria ya malipo ya mawakili.

Kama kuna swali nitajibu kulingana na uzoefu na ufahamu wangu.
Kwaio tunaenda na huyo manzi au najichukulia sample kisirisiri?
 
Ulichokiandika kama joke kiukweli kabila la wahaya wamekuwa wakifanya hivyo sema muingiliano na mabadiriko ya tabia nchi vimeharib.
Ili kujihakikishia firstborn ni wa ukoo hakika.
Mwali anakaa ndan bila kutoka nje mwaka mzima(kwalika).
Kutoka kwake chumban ni uani maalum wake tu (RUHUBA) ili aone jua au kufua na huduma ya choo.
Hafanyi kazi yoyote ya ndan zaid ya kukaa bila chupi kwa shughuli iliyomleta hadi mimba ya first born ya ukweli ipatikane, labda usafi binafs tu.
sasa Kuanzia mtoto wa pili haijarishi sana ni mbegu ya nani, ndo hayo ya kitanda hakizai haramu.
Nadhan kuokoteza wanyamahanga ndo leo tunajadiri mambo ya DNA.
Hii nzuri sana. Waafrika kiukweli tulikua na tamaduni nzuri, kuigaiga ndk kunatupoteza
 
Zimo sema utandawazi na uchumi wa kuhangaika vimeathiri huo utaratibu.
ilikuwa ni katika kutetea DNA ya uzao wa kwanza.
Siku hizi mtu anaolewa asubuhi anaamkia job, jion yuko na ex mara paap mnaletewa uzao wa kwanza la kibiyongo, akili hamna kila kitu plus magonjwa ya kurithi!
Mnapoteza traits zenu.
Pia ilikuwa inamheshimisha sana muolewaji. Mwaka mzima ni kula na kulala tu! Anatoka humo amenona haswa had kwao wanafurahi yupo in safe hands.
Je, kwa sasa dada zetu wakiolewa hujivunia nini?
Daaah basi ndo maana uhayani zile traits unaweza kuzikuta ukoo mzima, ziwe nzuri au mbaya, iwe akili au ujinga. Hii njiq ni nzuri sana, nadhan hata uarabuni wanafanya hivyo
 
Kitanda hakizai haram [emoji23][emoji1787]
Mtalea mabao ya walowalia wake zenu bure.

Yaan jitu umeliacha likutomb33 mke wako bado unalilelea mtoto wake. Ndo maana kuna watoto wanauwa baba zao sababu unakuta sio baba zao halisi.

Hii ni kwa wote mnaosema kitanda hakizai haramu kujustify huu upuuzi
 
Sisi tulio zaliwa Kaskazini mwa Tanzania hasa K’njaro tuna DNA asili yani Bibi yako au Babu Na Babana Mama huwa kinavitu wa note tu kwa Mtoto simple sana na wanakwambia huyu mtoto mkeo alikuja na Mimba au alichepuka

Mimi na mfano kuna dogo moja kwenye Familia fulani kuanzia wakat wamakuzi yake baada tu ya kuzaliwa Wazee wayule mzazi wa Dogo walimwambia mwenetu hapa umepigwa jamaa kutokan na kumpenda mkewe akavaa pamba masikioni hakutaka kusikia

Sasa wakati anakua ule umri wa kutumwa akawa jeur kibur mtata sana lkn babake alikua na watoto wawili kabla ya kimuoa ***** na walikua wana haiba zote za pale japo moja wakiume alifanana na Mamake ila kunavitu km vidole vya miguu na mikono ni dingi mtupu

Wazee waliendelea kumsihi kijana wao huyu mtoto atakuuwa siku mtafute Babae kwanjia ya mamake akutaje atakua alikuja na mimba hata ya wiki3 huyu

Kufupisha story wazee wayule dingi wakafariki kilichotokea miaka miwili nyuma kutoka mwaka huu yule dogo alimpiga vibaya Babake na babake alikua akimpenfa sana

Babake aliita ndugu wakamfukuza Dogo na Dogo akasepa kumbe Mamake kabla yakufa alimwambia Baabako yupo sehem fulan mana wadogo zake baada ya yy wote wana tabia sawa na Wale wakubwa zake wawili ambao Mama yao aliwakuta
Ndio haya nnayowaambia hawa wanaosema kitanda hakizai haramu.

Mimi nmeshuhudia familia kama mbili unakuta watoto ni wanne ila kuna limoja halijachukua kabisa tabia za baba yake.

Kuna mzee tuliwahi fanya nae kazi Barrick kule kakola, alikua na watoto wa kiume watatu, wiwili (wakwanza na wa mwisho) wameiga kila kitu kuanzia heshima hadi akili. Ila yule wa katikati sasa aiseee ni muhutu kabisa, kwanza ana kiburi, yaan unaweza kwenda kumtembelea baba ake hata lisikusalimie japo wenzake wote wanakusalimia.

Baadae huyo dogo alikuja kumuibia hela mzee wake zaidi ya 5M akatokomea asikojulikana na sijawah sikia story zake tena...

Waache waendeleee kusema kitanda hakizai haramu
 
Nyie mbegu zenu zikoje mpaka mkapime DNA kwa hiyo huyo mtoto hajatokea na chochote kutoka kwa baba!
Mtoto kama ni mdogo ni ngumu kujudge, mkubwa ana 4 yrs, mdogo ana 1 yr. Dawa ni DNA tu mambo ya kuangalia macho duniani wawili wawili chief
 
Mimi nikipiga kitu. Kinakujaga dizain yangu damu yangu kali sana sihitaji DNA
 
Sisi tulio zaliwa Kaskazini mwa Tanzania hasa K’njaro tuna DNA asili yani Bibi yako au Babu Na Babana Mama huwa kinavitu wa note tu kwa Mtoto simple sana na wanakwambia huyu mtoto mkeo alikuja na Mimba au alichepuka

Mimi na mfano kuna dogo moja kwenye Familia fulani kuanzia wakat wamakuzi yake baada tu ya kuzaliwa Wazee wayule mzazi wa Dogo walimwambia mwenetu hapa umepigwa jamaa kutokan na kumpenda mkewe akavaa pamba masikioni hakutaka kusikia

Sasa wakati anakua ule umri wa kutumwa akawa jeur kibur mtata sana lkn babake alikua na watoto wawili kabla ya kimuoa ***** na walikua wana haiba zote za pale japo moja wakiume alifanana na Mamake ila kunavitu km vidole vya miguu na mikono ni dingi mtupu

Wazee waliendelea kumsihi kijana wao huyu mtoto atakuuwa siku mtafute Babae kwanjia ya mamake akutaje atakua alikuja na mimba hata ya wiki3 huyu

Kufupisha story wazee wayule dingi wakafariki kilichotokea miaka miwili nyuma kutoka mwaka huu yule dogo alimpiga vibaya Babake na babake alikua akimpenfa sana

Babake aliita ndugu wakamfukuza Dogo na Dogo akasepa kumbe Mamake kabla yakufa alimwambia Baabako yupo sehem fulan mana wadogo zake baada ya yy wote wana tabia sawa na Wale wakubwa zake wawili ambao Mama yao aliwakuta
Hao ndio wanapigwa na kuleta migogoro kwa kutambua DNA kupitia hisia na maoni binafsi ya watu.

Ikumbukwe kuna uwezekano mkubwa wa kuzaa mtoto asiyefanana na Baba wala Mama kutokana na muungano wa Genes. Sasa kama unatumia hisia za mfanano hasa kwa hao wazee ni hatari sana
 
Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke.

Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip imenifikirisha sana sababu inaonekana inaakisi uhalisia. Hapa nikipata likizo ntafanya juu chini nipime DNA watoto wangu wote, wataalam toeni muongozo namna ya kupima DNA Tafadhari

View attachment 2495130
Ili ikusaidie nini? Wewe Lea katika hao Watoto wote wawe wa Nje au vinginevyo hawawezi fanana akili..

Mfano Mimi mama aniambie huyo sio baba Yako na kanilea Sasa baba yangu Mimi awe hai au kafa atakuwa na maana gani ikiwa hajanilea? Yupi wa maana aliyenilea au baba yangu wa damu aliyenipotezea?
 
Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke.

Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip imenifikirisha sana sababu inaonekana inaakisi uhalisia. Hapa nikipata likizo ntafanya juu chini nipime DNA watoto wangu wote, wataalam toeni muongozo namna ya kupima DNA Tafadhari

View attachment 2495130
Una uwezo wa kuvumilia majibu
 
Uvivu wao tu, majibu ya ukweli yatoke halafu kama mwanamke kadanganya tunambana aseme baba ni nani, na huyo baba ndo anapelekewa mzigo. Ila mara nyingi wanawake wanajua mhusika ni nani, ni vile tu wanaamua kutuumiza
Kama hana uwezo? Au mimba iliingia kisa mwanamke kuchepuka Je?
 
Back
Top Bottom