Ajabu na kweli: Padri wa kanisa katoliki kaoa mke na anavuta sigara kali!

Una uhakika gani kuwa hayo mneno uliyoambiwa ni ya kweli?
Yule mwanamke anajulikana mtaa mzima kuwa ni mke wa padre ndio maana yule kijana (jirani yake padre) aliishiwa uzalendo na kuweka mambo hadharani.
 
Kwamba wewe ndio wa kunifundisha mimi maana ya ndoa ?

Kwa sababu wewe ni malaya basi unafikiri kila mtu humu ni malaya kama wewe ?
Sasa wewe mbona unakuwa mkali for nothing? Una maslahi gani na ndoa ya padre au wewe ndiye mke wake nini? You are so emotional for no good reason....calm down!
 
Doohh salala....Bora huyo mapadre wetu wa Roma mara nyingi wana kesi za kulawiti wengi sana chukulia jambo la kawaida kwahiyo ww hutaki yeye ale mozigo KUTOKUWA NA MKE SIO SHERIA YA MUNGU NI KANUNI YA KANISA (RUMI) pia kumbuka mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa
 
Ungekutana na kile kisa cha ustaadh aliyelawiti watoto wa madrasa ishirini na mbili si ungekufa kabisa?
 
Sasa wewe mbona unakuwa mkali for nothing? Una maslahi gani na ndoa ya padre au wewe ndiye mke wake nini? You are so emotional for no good reason....calm down!
Uliona huyo mwanamke ana faidi sana ulitaka ubatuliwe wewe ? Toto la kiume linakuwa mbea kama binti jilinde utakuja tolewa mahari
 
Sema wewe Atoto, nikisema mie naambiwa nina chuki....
Ma padri ni binadam wa kawaida tu...

Ni kama ushangai kumkuta muislam anakula kitimoto, au mchungaji au ostadhi ana michepuko..

Kwa hyo sio kitu cha kushangaaaa...
 
Uliona huyo mwanamke ana faidi sana ulitaka ubatuliwe wewe ? Toto la kiume linakuwa mbea kama binti jilinde utakuja tolewa mahari
Du! Hauko sawa mkuu......inawezekana una shida kwenye afya ya akili. Tulia kwanza akili yako ipoe kidogo!
 
Yaweza kuwa wewe ni mnaa ndio maana unajihami.
 
Yaweza kuwa wewe ni mnaa ndio maana unajihami.
Kujihami kivipi mkuu? Hakuna habari siyokuwa na introduction mkuu....introduction sio kujihai bali ni njia ya kuanzisha mada.
 
Sigara kali ni kama bange tu mkuu. Wewe unaona vema mtumishi wa Mungu kuvuta vitu vya ajabu kama hivyo?
Najua ni bange.
Dhambi inatoka wapi kuvuta bangi?
Kama kanisa katoliki linaruhusu pombe na mapadri wanakunywa bila kificho kwanini kuvuta bangi iwe dhambi kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…