tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #121
Tofautisha pombe (kileo halali) na bange (dawa ya kulevya, which is illicit before the law).Najua ni bange.
Dhambi inatoka wapi kuvuta bangi?
Kama kanisa katoliki linaruhusu pombe na mapadri wanakunywa bila kificho kwanini kuvuta bangi iwe dhambi kwao?