Ajabu na kweli: Padri wa kanisa katoliki kaoa mke na anavuta sigara kali!

Najua ni bange.
Dhambi inatoka wapi kuvuta bangi?
Kama kanisa katoliki linaruhusu pombe na mapadri wanakunywa bila kificho kwanini kuvuta bangi iwe dhambi kwao?
Tofautisha pombe (kileo halali) na bange (dawa ya kulevya, which is illicit before the law).
 
Aisee wewe ni kichaa mie nipewe na padri mie ni mlutheran wachungaji wanaruhusa yakuoa so jieshimu aio unaropoka ropoka kama umelaaniwa
Kama mlutheran mambo ya wakatoliki yana kuhusu nini sasa unataka kukunwa na mapadre ?
 
Aisee wewe ni kichaa mie nipewe na padri mie ni mlutheran wachungaji wanaruhusa yakuoa so jieshimu aio unaropoka ropoka kama umelaaniwa
Mkuu, huyo hayuko sawa achana naye.....atakuharibia siku.....na ukute ni robot sio mtu....inakuumiza kichwa bure bilashi!
 
Na yeye huenda ndiye mke wa padre. Kwa hiyo ngoma droo! Ndio maana anakuwa mkali kama pilipili mbuzi! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Umeona eeh, naumia kuona padre wangu anasemwa humu ,mwishowe ashindwe kunipa maokoto [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…