Ajabu sana, Waziri anakiri watanzania ni masikini halafu bado anaweka tozo

Ajabu sana, Waziri anakiri watanzania ni masikini halafu bado anaweka tozo

Sio kujaza mafuta ya ma v8.kwanini serikali haifanyi ajustement kwenye Matumizi yake badala yake matumizi ya serikali ni yale yale
NDIO SWALA LA MSINGI..BANA MATUMIZI SIO KUONGEZA MZIGO WA MATUMIZI KWA WANANCHI..Umeandika vyema mkuu👍👍
 
Pigania mfumo mbovu uvunjwe kwa nguvu zote !! Nyerere has gone forever kama alikosea sisi tulio hai bado tupiganie kuubadilisha huo mfumo mbaya !! Unaonaje tuanze na kupata katiba mpya !! Kumlaumu Nyerere hakutatusaidia chochote Mkuu !! The past has gone forget it , the future hasn’t arrived to hell with it but the present is here use it !!

Nyerere aliujenga huo mfumo ili usivunjike. Na chama cha Nyerere CCM ambacho kimeshika dola hakitaki mfumo ubadilike.
 
Nyerere aliujenga huo mfumo ili usivunjike. Na chama cha Nyerere CCM ambacho kimeshika dola hakitaki mfumo ubadilike.
Basi twendeni Hivyo hivyo tu tutafika !! Binadamu akipanga jambo na Muumba wa mbingu na Ardhi hupanga yake !!
 
Kumtaja taja mtu mara kwa mara hata kama kwa ubaya ni kuzidi kumpa umaarufu zaidi na zaidi 😅😅

Kwa nini Nyerere asitajwe wakati CCM jina lake wanalitaja kwenye propaganda zao? Mara ngapi viongozi wa CCM wanamtaja Nyerere kwenye hotuba zao? Simpi umaarufu zaidi na aliokuwa nao tayari. Naongea ukweli tu kwamba Nyerere ndiye aliyetuletea huu mfumo mbovu.
 
Inawezekana uko sahihi !!
 
Ndiyo makosa aliyofanya Nyerere kwa kujenga mfumo tulionao.
Kwahiyo sisi sote tulio hai hatuwezi tena kuurekibisha huo mfumo mbovu mpaka mwenyewe aliyeuweka aje tena kuturekebishia ??!!! “ maajabu ya dunia “ !!
 
Yaani hizi tozo ni kisanga nahis wanaangalia watu wanaowaona kwenye mitandao ya kijamii sio uhalisia watanzaniawengi ni maskini sana huko vijijin kupta Milo miwili tu ni shida maana mitatu hawaijui ipoje wao wamekazania tozo tozo izo Kodi tunazolipa kwenye bidhaa mbna kilamtanzania anahusika
Huyu baba chuon alisomea tozo tu😂
 
Halafu hakuna mtanzania asiyelipa Kodi, tozoooooo, unanunua bando, unanunua sigara, unanunua kondom, unanunua bia, unanunua soda, unanunua maandazi , unanunua gazeti, unanunua dawa , unanunua umeme tatizo hizi pesa zote zinakwenda wapi ?
Kinachosikitisha sana ni pale wanapozinyonga biashara za wajasiria mali wadogo kwa kuwatoza kodi hata kabla hawajaanza kuzalisha. Mwisho wake shughuli nyingi za wajasiriamali zinashindwa kukua na hatimaye tatizo la ajira linaendelea kukua. Halafu wanasimama kwenye majukwaa wanajifanya wanawajali wasio na ajira.
 
tozo ni kwajili ya maendeleo yetu sisi wenyewe, hatunabudi kulipa, kama hutaki nenda unapopajua ukaishi, msitusumbue na ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom