Naona Feza Schools hapoWao...sisiView attachment 2342960
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Feza Schools hapoWao...sisiView attachment 2342960
Duh !! Iko kazi !!Usitegemee Katiba ya kuwabana Watawala katika Nchi hii, ndiyo maana hata Rasimu ya Katiba ya Walioba ilipigwa vita na ikakwama.
NDIO SWALA LA MSINGI..BANA MATUMIZI SIO KUONGEZA MZIGO WA MATUMIZI KWA WANANCHI..Umeandika vyema mkuu👍👍Sio kujaza mafuta ya ma v8.kwanini serikali haifanyi ajustement kwenye Matumizi yake badala yake matumizi ya serikali ni yale yale
Pigania mfumo mbovu uvunjwe kwa nguvu zote !! Nyerere has gone forever kama alikosea sisi tulio hai bado tupiganie kuubadilisha huo mfumo mbaya !! Unaonaje tuanze na kupata katiba mpya !! Kumlaumu Nyerere hakutatusaidia chochote Mkuu !! The past has gone forget it , the future hasn’t arrived to hell with it but the present is here use it !!
Basi twendeni Hivyo hivyo tu tutafika !! Binadamu akipanga jambo na Muumba wa mbingu na Ardhi hupanga yake !!Nyerere aliujenga huo mfumo ili usivunjike. Na chama cha Nyerere CCM ambacho kimeshika dola hakitaki mfumo ubadilike.
Basi twendeni Hivyo hivyo tu tutafika !! Binadamu akipanga jambo na Muumba wa mbingu na Ardhi hupanga yake !!
Wao...sisiView attachment 2342960
Kumtaja taja mtu mara kwa mara hata kama kwa ubaya ni kuzidi kumpa umaarufu zaidi na zaidi 😅😅Ndiyo makosa aliyofanya Nyerere kwa kujenga mfumo tulionao.
Kumtaja taja mtu mara kwa mara hata kama kwa ubaya ni kuzidi kumpa umaarufu zaidi na zaidi 😅😅
Inawezekana uko sahihi !!Kwa nini Nyerere asitajwe wakati CCM jina lake wanalitaja kwenye propaganda zao? Mara ngapi viongozi wa CCM wanamtaja Nyerere kwenye hotuba zao? Simpi umaarufu zaidi na aliokuwa nao tayari. Naongea ukweli tu kwamba Nyerere ndiye aliyetuletea huu mfumo mbovu.
Kwahiyo sisi sote tulio hai hatuwezi tena kuurekibisha huo mfumo mbovu mpaka mwenyewe aliyeuweka aje tena kuturekebishia ??!!! “ maajabu ya dunia “ !!Ndiyo makosa aliyofanya Nyerere kwa kujenga mfumo tulionao.
Kinachosikitisha sana ni pale wanapozinyonga biashara za wajasiria mali wadogo kwa kuwatoza kodi hata kabla hawajaanza kuzalisha. Mwisho wake shughuli nyingi za wajasiriamali zinashindwa kukua na hatimaye tatizo la ajira linaendelea kukua. Halafu wanasimama kwenye majukwaa wanajifanya wanawajali wasio na ajira.Halafu hakuna mtanzania asiyelipa Kodi, tozoooooo, unanunua bando, unanunua sigara, unanunua kondom, unanunua bia, unanunua soda, unanunua maandazi , unanunua gazeti, unanunua dawa , unanunua umeme tatizo hizi pesa zote zinakwenda wapi ?
hahaha hahaaa unachekesha mkuu!tozo ni kwajili ya maendeleo yetu sisi wenyewe, hatunabudi kulipa, kama hutaki nenda unapopajua ukaishi, msitusumbue na ujinga wenu.