TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Nani alikuambia vyuo ndo vinatoa solution?

Serikali haina mkakati wa kutatua hizo changamoto.

Hivyo vyuo vitakuwa vinapoteza muda.
 
Mpaka sas HV naogopa kusafiri kila siku lazm mizinga Kuna nn na hili linakwenda sambasmab na kauli ya kinana Ila sioni sbabu ya kuhusisha kauli ya kinana. Na ajali hzi
 
Madereva wa serikali ni tatizo. Na huyo DED na usomi wote huo alikuwa hajui speed inaua.

Hiyo kwa jinsi ilivyoharibika lazima speed ilikuea 140, 160 au 180KM/HR yaani kikitokea kitu mbele hata dereva huwezi kucontrol gari.
Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, wadaiwa kufariki dunia hii leo huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala Mkoani Mbeya.
 
Ila Huu mkoa WA Mbeya sijui Una Pepo gani kila siku ajali mbaya ziko pale
 
Madereva waendeshe magari taratibu.. inasikitisha sana yaan gari haitamaniki km imeangukiwa na kitu kizito
 
Kwanini serikali ya CCM haitaki kutanua barabara maeneo hatarishi mkoani Mbeya?

Ajali isipotokea Inyala, inatokea Mlima Nyoka, isipotokea hapo inatokea mteremko wa Mbalizi, lakini serikali inachukulia poa tu miaka nenda rudi.

Last december nimepita hizo barabara ulizozitaja. nikasema waziwazi na moyoni kwamba Mbeya hawana barabara. yaani iko kama Tabora ya miaka ya 90.

Hayo maeneo yote uliyoyataja ni barabara hatarishi. Zina matuta yanayoenda sambamba na barabara. Halafu nyie kina Bujibuji Simba Nyamaume mko kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…