Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Pole sana kwa wote ambao wameguswa na ajali hii.

Wale majeruhi nawaombea wapate nafuu haraka na waliofariki Mwenyezi Mungu awarehemu.
 
So sad kwa kweli..Mungu awalaze mahala panapostahili
 
Mkuu kifo hakikimbiwi

Hata uende wapi kama siku yako ya kufa imefika imefika tu

Kitendo cha kuwanyima fursa ya kwenda kutembelea sehemu mbalimbali kwa ajili ya mafunzo ni kuwanyima haki yao ya msingi .
 
Dah . Inarillah wainarillah rajun. RIP wote mliofikwa na umauti
 
Mkuu, inawezekana kabisa. Watoto hupenda sana kupakatana na kubanana kwenye usafiri. Nahisi hali hiyo kwao ni burudani, wagombane, wasukumane, wataniane, watukanane, watekenyenyane, n.k. Waweza wakajisunda kwenye hiace hadi usiamini.
Mungu awape wepesi wafiwa.
 
Poleni sana ndugu na familia.... Msiba mkubwa sana...

R.I.P
 
Mungu awajalie huruma yake majeruhi wote na pole kwa wazazi waliopoteza watoto wapenzi wao
 
Wanafunzi na walimu zaidia ya 20 wa shule ya msingi Lake Vicenti ya jijini Arusha waliopoteza maisha kwa Ajali leo

 
Aisee daah inauma sana Mungu zipokee roho za marehem wote na uzipumzishe mahal pema.
 
Usiweke picha mkuu..sio ustaarabu,dah kweli tumetoka mavumbini...na mavumbini tutarejea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…