Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

Naona kama ni moja ya mbinu za kutupunguza kwa idadi yetu kwakuwa wengi sie waafrika
 
I doubt
 
Eeh Mwenyenzi Mungu tunakuomba ukatunusuru na hizi Anjali/majanga ya mara kwa mara, ukatufanye tukumbuke dunia tunapita tu ,, tukaache tamaa za kidunia kwa kutoa kafara kwa njia mbali mbali ikiwa ni pamoja na ajali, n.k.
Roho za marehemu wote zikapumzike mahali pema peponi,
Amina [emoji1431]
 
Japo chombo inatembea Sana. Na ule mngurumo full mzuka.
RIP familia.

Tatizo la Xtrail ikiamua kukuudhi ina mbinu nyingi kweli za kuhakikisha umenuna. Inaweza tumia sensors, heat, au ikasusa tu isiwake halafu ukishaleta fundi inawaka vizuri tu.
 
Xtrail ndio naskia body yake na mabango ya sigara yale hazina tofauti. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Xtrail Sijui waliifyatua na nn karatasi gani
Ukiwa spidi kuanzia 100 inapepesuka sn barabarani, ukiwa ikiwa tupu ndo kabisa ukipishana na gar kubwa utafkiri umepigwa kimbunga,inabd usimame.

Gar ya kipuuzi sn Ile,Nissan pale walitupiga[emoji3525]
 
Sijawahi kuvutiwa na kluger
Nilienda mbeya, kule ziKo nyingi balaa[emoji4]
 
Tatizo lipo kwa magari yanayotengenezwa Bara la Asia.
 
Overtake ya blindspot hio hamna jipya, utagongana vipi na mwenzio kama upo site yako unless otherwise mwenye lorry awe alitanulia kwenye kona.
Inawezekana Gari kupata hitilafu ikiwa kwenye mwendo ikahama Barabara, na kwa mazingira hayo ni vigumu sana kupata kwa hakika ni nini kilitokea unless kama mtagharamia utafiti wa hali ya juu kama unaofanyika kwa ajali za Ndege.....labda kama Gari itahama na kuingia tu porini bila kupata uharibifu mkubwa Fundi wa kawaida anaweza kugundua ni nini kilitokea, mfano hitilafu kwenye mfumo wa usukani au kupasuka kwa gurudumu n.k.

Pia kuna ishu ya kusinzia.

Ila vyote kwa vyote waweza kupunguza madhara iwapo upo kwenye mwendo wa wastani.
 
Mabox

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…