Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

Pole kwa ndugu na jamaa kwa familiar.
R. I. P ndugu zetu.
Mungu awarehemu majerui.

NB: uzi unahabarisha kuhusu ajali ya kupoteza familia ila baadhi yetu tumeingiza uzi wa aina ya magari. Tujikite kwenye lengo
 
Tume ya kitaalamu iundwe. Ihusishe pande zote za Muungano.
 
Xtrail Sijui waliifyatua na nn karatasi gani
Ukiwa spidi kuanzia 100 inapepesuka sn barabarani, ukiwa ikiwa tupu ndo kabisa ukipishana na gar kubwa utafkiri umepigwa kimbunga,inabd usimame.

Gar ya kipuuzi sn Ile,Nissan pale walitupiga[emoji3525]
SIDO wao hata mashine ya kufyatulia tofali mpaka wakae vikao vya posho mwezi mzima
 
Gari hata ikiwaka moto engine inayeyuka maana yoote ni cast aluminium
 
Wajaliwe kukutana na muumba wao wakiwa wametakasika, majeruhi wajaliwe kupona kwa haraka.

Tuendelee kuchukua tahadhari kubwa sana tuwapo barabarani na haswa tunapokuwa kwenye vyombo vya usafiri, mwendo mdogo unachelewesha kufika, lakini utafika salama safari yako.
 
Ndo maana walamba asali wananunuliwa Landcruiser 300 series
 

Attachments

  • images (64).jpeg
    4.5 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…