Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

Aisee! Mambo ni mengi. Anyway wapumzike mahali wanapostahili
 
Mnajipunguza wenyewe kwa kushindwa kuthamini maisha yenu sawasawa.
Naona kama ni moja ya mbinu za kutupunguza kwa idadi yetu kwakuwa wengi sie waafrika
 
Ila pia watu wengi hawajuwi haya magari madogo sio yakusafiria na familia. Chukua ngari kubwa punguza vifo
 
Shida ya madereva wa serikali hujiona watemi wakiwa barabarani, wanahamia upande wa pili wanakutaka uliyeko upande huo uende porini uwapishe wao
Aliyekuwa anaendesha ni bakabaka wa kike na hiyo ni gari yake binafsi.

Siyo dereva wa serikali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…