Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Week ijayo pdf linatoka, anzeni kula misuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hakuna mpya mpaka sasa.Kwangu no news so far sijui wengine
Here we go!Week ijayo pdf linatoka, anzeni kula misuli
Hamna kituKuna update ?
Hivi watatoa majina au watafanya mawasiliano ?Hamna kitu
Mmeshaitwa kumbeMWENYE LINK YA GROUP LA WATSP LA TRA WANAOPEANA UPDATES AU SHARES MATERIAL NAOMBA KWA MWENYE LINK NAOMBA ANITUMIE ILI IWE RAHISI KUPATA UPDATE.🙏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au ndo watu wako training tayar
Mbona Mnapenda Kupotosha Watu,?? Nimeomba Link ya Group cz baada tu ya Nafasi kutoka watu waliunda group , Kwa ajiri ya updates incase .... Na nilikuwepo ila nikaja poteza simu... Sasa Hapo ambacho haukuwa umeelewa nini? Yani message fupi kama hiyo unashindwa elewa na Ni graduate .. very sad[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona Mnapenda Kupotosha Watu,?? Nimeomba Link ya Group cz baada tu ya Nafasi kutoka watu waliunda group , Kwa ajiri ya updates incase .... Na nilikuwepo ila nikaja poteza simu... Sasa Hapo ambacho haukuwa umeelewa nini? Yani message fupi kama hiyo unashindwa elewa na Ni graduate .. very sad
Tunaomba ukipata hio link ushee na sisi tujiungeMbona Mnapenda Kupotosha Watu,?? Nimeomba Link ya Group cz baada tu ya Nafasi kutoka watu waliunda group , Kwa ajiri ya updates incase .... Na nilikuwepo ila nikaja poteza simu... Sasa Hapo ambacho haukuwa umeelewa nini? Yani message fupi kama hiyo unashindwa elewa na Ni graduate .. very sad
Dogo piga msuli nafasi yenyewe moja alafu mnaigombania watu karibuni 5000Mbona Mnapenda Kupotosha Watu,?? Nimeomba Link ya Group cz baada tu ya Nafasi kutoka watu waliunda group , Kwa ajiri ya updates incase .... Na nilikuwepo ila nikaja poteza simu... Sasa Hapo ambacho haukuwa umeelewa nini? Yani message fupi kama hiyo unashindwa elewa na Ni graduate .. very sad
Mkuu hata Nafasi zikiwa 400 mmeomba watu 399 ....Basi kama Sio Nafasi Mungu Aliyokuandikia Hupati.. Cz sisi zetu ni jitihada tu Yeye ndio anayepanga....So usione siku kuna nafasi laki moja mkaomba watu 10 ...ukajiwekea hapa napata ...Noo Ridhki ni mungu ndio anaamua ya kwako ipo wapi...So kula msuli wa dunia nzima pewa hata paper ila kama sio ridhki sio yako hupati.Dogo piga msuli nafasi yenyewe moja alafu mnaigombania watu karibuni 5000
Kaa Leo Fikiria nafasi ngapi, Uliwahi kuweka jitihada lakini hukupata...Lakini Nyengine ulipata tu bila hata jitihada... Huyo Ndio Mungu Sasa... ( Waangalie ndege ,angani Hawalimi na hawana mashamba ila kwanini wanapata ridhki)... leo Si upo mzima na miguu unatafuta ridhki na unahofu je siku nikipata ajali nitapata wapi chakula na mahitaji....Sasa hata siku ukipata ajali na huwezi kunyanyuka Hautakufa kwa njaaa.... So uwe na imani cz hauna nguvu yoyote hata chembe ya mchanga bali ni Mwenyezi Mungu, ...Mkuu hata Nafasi zikiwa 400 mmeomba watu 399 ....Basi kama Sio Nafasi Mungu Aliyokuandikia Hupati.. Cz sisi zetu ni jitihada tu Yeye ndio anayepanga....So usione siku kuna nafasi laki moja mkaomba watu 10 ...ukajiwekea hapa napata ...Noo Ridhki ni mungu ndio anaamua ya kwako ipo wapi...So kula msuli wa dunia nzima pewa hata paper ila kama sio ridhki sio yako hupati.
Sasa unahangaika na magroup ya whatsapp ya nini si usubiri tu Mungu afanye njia upigiwe simu au utumiwe email ya interview. Majina hayatatumwa kwenye group la whatsapp maana admin sio TRA tulia acha kuhangaikaKaa Leo Fikiria nafasi ngapi, Uliwahi kuweka jitihada lakini hukupata...Lakini Nyengine ulipata tu bila hata jitihada... Huyo Ndio Mungu Sasa... ( Waangalie ndege ,angani Hawalimi na hawana mashamba ila kwanini wanapata ridhki)... leo Si upo mzima na miguu unatafuta ridhki na unahofu je siku nikipata ajali nitapata wapi chakula na mahitaji....Sasa hata siku ukipata ajali na huwezi kunyanyuka Hautakufa kwa njaaa.... So uwe na imani cz hauna nguvu yoyote hata chembe ya mchanga bali ni Mwenyezi Mungu, ...