Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili.
Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda au mama lishe .
Ungetaka kuwa bodaboda ungeishia tu darasa la pili maana kwenye bodaboda hakuna hesabu kubwa kivile , unapewa laki moja unaandikiwa kikaratasi ukamnunulie mtu mahitaji yake basi. Hesabu anakuwa ashapiga yeye mwenyewe maana wewe boda hakuamini.
Msomi unakuwa dalali wa vyumba mjini umekaa kijiweni pamoja na wazee walioishia darasa la 4 B. Umewatesa wazazi tu kwa kujinyima , waliuza mpaka mbuzi ili ukasome leo hii unauza mikanda Kariakoo, mikanda fake unawaambia watu ngozi hii. Hiyo kazi ya utapeli ungeianza ulipokuwa darasa la 3 sasa hivi ungekuwa mbali.
Enyi vijana elevukeni, muidai hii haki yenu ya msingi. Serikali iwaajiri au ivutie wawekezaji kwa wingi muajiriwe na wawekezaji.
Mnapondwa na malori na hivyo vibodaboda vyenu wala hakuna anayewajali. Unfortunately hata wananchi wakiona boda amekufa moja kwa moja wanaanza kumtupia lawama bodaboda.