Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utawezaje kutawala mazingira yanayotawaliwa na wenye nguvu kiuchumi....tatizo ni kubwa zadi ya mfumo wa elimuMfumo wa elimu yetu unaandaa wahitimu kuajiriwa, badala ya kutawala mazingira. Shida ipo hapo.
Hao wa kutafutiabajira South Korea ni hawa haaa wajinga wasio jutambya? Mnachekesha sana
Kweli mkuu, ziko nchi population yao ni ndogo, na kazi na majukumu ni mengi na wanataka nguvu kazi toka nje. Serikali ikijipanga vijana wataenda kutafuta mitaji na technology na kuirudisha nchini,, tutapiga hatua. Ili mradi serikali ihakikishe sheria za mikataba ya kazi inazingatiwa.Hao wa kutafutiabajira South Korea ni hawa haaa wajinga wasio jutambya? Mnachekesha sana
Ukielimika, unaweza.utawezaje kutawala mazingira yanayotawaliwa na wenye nguvu kiuchumi....tatizo ni kubwa zadi ya mfumo wa elimu
Mimi nimeshasema tofauti na kilimo siwezi kufanya uchuuzi, never. Lazima tujitambue
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣 🤣Elimu ina faida kubwa
Unaweza kuwa unauza matunda lakini elimu ikakusaidia kuyauza kisomi
Labda kuongeza thamani kwenye package, delivery, kauli n k
Serikali haina maofsi ya kuwaweka Wasomi wote
Tumia elimu popoteMfumo wa elimu yetu unaandaa wahitimu kuajiriwa, badala ya kutawala mazingira. Shida ipo hapo.
Elimu yako itumike popoteAhahahahh 🤣 🤣 🤣 🤣
Wewe sio mhanga.
Kauli kama hizi tumezisikia sana lakini kiuhalisia not applicable.
Kwamba msomi atasajili line za simu na kuadd value.
Eti msomi atatembeza karanga na kuongeza value labda anunue filimbi ya kuitia wateja.
Kuna graduate wa Education anatembeza tembele na baiskeli mwaka wa 5 sasa mbona sioni alichokiongeza ?
Kwa dhati kabisa, kutumia miaka 18 kusoma degree halafu,unakuwa kibarua wa kujaza mchanga kwenye tipa la mchanga haiko sawaTumia elimu popote
Jitofauti
Elimu yako itumike popote
Yaani kama msomi utaamua kuwa dalali jitafautishe na wengine
Apply elimu
Tumia mitandao
Tangaza
Kama utapika chakula
Kuwa tafauti
Ji brand
Uhalisia tukubaliKwa dhati kabisa, kutumia miaka 18 kusoma degree halafu,unakuwa kibarua wa kujaza mchanga kwenye tipa la mchanga haiko sawa
Hili ndo swala nlilotaka kulijaribu aseeMimi nimeshasema tofauti na kilimo siwezi kufanya uchuuzi, never. Wasomi ni chachu ya mabadiriko na siyo huu ujinga wa umachinga, bodaboda na udalali. Lazima tujitambue
Hakuna nchi wala sehemu wala uwezekano wa kila mtu mmoja mmoja kuweza kujipatia mkate wake katika mfumo wa sasa...Mfumo wa elimu yetu unaandaa wahitimu kuajiriwa, badala ya kutawala mazingira. Shida ipo hapo.