Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

Duuh , hii hatar....Inawezekanaje taarifa ya namna hyo ikafikishwa Kwa njia ya barua ,
Mbona ni kawaida sana ! hawa hata viongozi wao wa kata hawawezi kutumia hizo E mail wala internet ,hiki chama huko chini viongozi wake ni duni sana
 
Hiyo barua ni fojaringi tu ya uchonganishi hata hivyo ukiandika haisaidii kwani huwezi walazimisha wasaili kumpendekeza wanaomtaka kichama huu ni uhuni
 
Hii wikiendi ni ya vitu vizitoo tuhh kichwani
 
Na ukiona imepelekwa orodha jua hakipo kiambatishi chochote Kwa habar ya Qualifications.

Ni makanjanja matupu, uozo huo na vimemo ndo umesababisha Leo mtu aliyekuwa UVCCM kindakindaki kuwa WAZIRI wa Fedha.
Huyu hapa akiwa na Mkurugenzi wa zamani wa Tume ya Uchaguzi , Ramadhan Kailima

 
Mkuu 'Erythrocyte', tunaposema kuwa sasa hivi adui mkuu wa nchi yetu Tanzania ni CCM; hatuyasemi haya kwa kujisikia tu kuyasema maneno mazito kama hayo.
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…