Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Huyo aliyekuwa Rais yupo wapi sasahivi??Anakula maisha ila hajawa rais. U see?
Sasa ulitaka aishi milele?Huyo aliyekuwa Rais yupo wapi sasahivi??
Kwani alikwambia amezifungia milele?Dunia ni hadaa ulimwengu shujaa. Shujaa wa afrika kafa mambo yake yote aliyojulidai yanageuzwa. Mfikishie ujumbe huko kuzimu.
Kikwete na Mwinyi bado wanakula bata tu la ustaafu..Sasa ulitaka aishi milele?
[emoji23][emoji23][emoji23]Bado atakutesa sana moyoni mwako na 2025 atakugonga hata kama kafaKikwete na Mwinyi bado wanakula bata tu la ustaafu..
Mkapa alikula bata la ustaafu kwa miaka 15. Wameyafaidi maisha ya ustaafu na kucheza na wajukuu nyumbani..
Mwingine kafa kibudu, ajenda yake ya utawala wa milele imemkosa. Yaani nguvu kubwa ya kupeleka wabunge wote wa MCC bungeni ili ajiongezee muda wa Utawala imekuwa kazi bure.
Hata wewe hakuna aliyekushawishi kuwa MPUMBAVU, ulijichagulia mwenyewe kuwa katika hali uliyomo.Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Atagongewa yeye mkewe[emoji23][emoji23][emoji23]Bado atakutesa sana moyoni mwako na 2025 atakugonga hata kama kafa
mkuu tunashukuruUkigoogle kwa jina lake utamwona tu Mkuu!
Kama alivyoenda mama yako.Magu bora kaenda
Ahh tweeter ina operate mzeeUsiwapangie matumizi. Na sasa Twitter ni bila VPN.
Mission ya hao iligundulika walitaka kupitishia pesa za kuharibu uchaguzi wakapigwa pini na sasa hawana madhara tena lakini wakileta cha kuleta tena watapigwa pini tu. Lakini kwa kuwa wewe ni nyumbu hata hujui kinachoendelea umebaki kutapika tu kama zezeta.Sio kidogo.
Kwani chato ilikua inajengwa na mshahara wa meko,tuliza mshonoNi mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.
Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Naunga mikono hoja [emoji1787][emoji1787]Bila picha ya mrembo husika hii pongezi yako hainogi
Alizima tuuu alidokoaaYule mwizi hakukwapua hela kwenye hiyo akaunti?