Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

AISEE Malaika mkuu mwenda zake alikua mtu katili sana na yote haya ni kwasababu Kiongozi wa mtandao Ole Ngurumwa alikua anamwandama sana Jiwe, sasa pigeni kazi bila woga jamaa ndio basi tena kashasahaulika hata hajaoza vizuri kule Chato.
 
Dunia ni hadaa ulimwengu shujaa. Shujaa wa afrika kafa mambo yake yote aliyojulidai yanageuzwa. Mfikishie ujumbe huko kuzimu.
Kwani alikwambia amezifungia milele?

Alizifungia ili kuzuia genge la belgiji kuingia ikulu yetu
 
Mapenzi ya jinsia moja sasa ruksa rasmi? Serikali imekurupuka.
 
Miongoni mwa maamuzi ya kitaaahira yaliyofanywa katika awamu ya tano
 
Na utasikia Mbunge mmoja amevimbiwa maharage ya mbeya anajitutumua na kusema "Hayati Magufuli jemedari tufuate legacy yake, mpenda haki, Mcha mungu " Juha mwingine wa pembeni yake anagonga meza Kwaa!kwaaa!
 
Sasa ulitaka aishi milele?
Kikwete na Mwinyi bado wanakula bata tu la ustaafu..

Mkapa alikula bata la ustaafu kwa miaka 15. Wameyafaidi maisha ya ustaafu na kucheza na wajukuu nyumbani..

Mwingine kafa kibudu, ajenda yake ya utawala wa milele imemkosa. Yaani nguvu kubwa ya kupeleka wabunge wote wa MCC bungeni ili ajiongezee muda wa Utawala imekuwa kazi bure.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Bado atakutesa sana moyoni mwako na 2025 atakugonga hata kama kafa
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Hata wewe hakuna aliyekushawishi kuwa MPUMBAVU, ulijichagulia mwenyewe kuwa katika hali uliyomo.
 
Sio kidogo.
Mission ya hao iligundulika walitaka kupitishia pesa za kuharibu uchaguzi wakapigwa pini na sasa hawana madhara tena lakini wakileta cha kuleta tena watapigwa pini tu. Lakini kwa kuwa wewe ni nyumbu hata hujui kinachoendelea umebaki kutapika tu kama zezeta.
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Kwani chato ilikua inajengwa na mshahara wa meko,tuliza mshono
 
Back
Top Bottom