Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Mkuu pole sana kwa unayopitia ungetushirikisha japo kidogo tu ili upate ushauri wa watu wengi

Ebu acha mawazo mabaya jichanganye na watu wa karibu

Naamini una shida ingine ambayo huwezi kusema, Mungu akusaidie
 
Kijana tafuta mwanamke akutoe stress pata na watoto. Wewe ushakua mama ashaenda jenga familia yako na wao waje wakulilie siku moja.

Hapo unamlilia mke wa baba ako. Tafuta na wewe mke wako watoto wako waje wamlilie.
 
Mkuu Phobia wewe ni wa thamani sana mbele za Mungu. Usijiwazie mabaya pitia huu uzi wangu nadhani utakisaidia na chini ya huu uzi utaziona na thread zingine zitakusaidia na kukupa hamasa na tumaini jipya
 
Umeamua kuacha ugali,,,kitimoto,,beer na watoto wazuri wa kike wenye mikia yao??huo ni Utovu wa nidhamu Kaka,,,,kauze hata figo moja kabla hujafariki umsaidie mwenye uhitaji ili apate kuishi utabarikiwa mnoo!!
 
Tafuta mwenza akupe kampani,
Hayo madhara ya kuwa singo
 
Kwanini umejiita Phobia?
Ni kama unafurahia jinsi ulivyo nisamehe kama nitakukwaza.
Halafu umeshajua tatizo ni nini unapaswa kukubali kwamba mama hayupo tena.. Kuna watu wema sana hapa duniani ukiishi vizuri na watu hutakosa wa kumwambia mambo yako.
Tambua ya kwamba kifo kipo tu...jifunze kukubaliana na hali.
Pole ndugu.
 
SOMA KITABU KINAITWA THE POWER OF SUBCONDCIOUS MIND naamin utapata utulivu wa akili.
 
sema ukwel tu kinacho kusumbua, mwanaume akiwa na pesa mara nyingi kitakacho msumbua ni mapenzi au umeachwa😂😂😂 ukajua kumbe mapenzi sio pesa ndo ivo jamaa kaboba kakuibia jimbo na hana kiti😂😂
 
Mwambie Hudson na Elizabeth wa Uingereza ulikokwenda mapumziko wakufariji lakini pia si ulioa demu wa Kisukuma Mnyamtuzu? Vipi yule demu wako ulimkuta home anamegwa na Mbena taka? Vipi kuhusu maisha ya ughaibuni?


Wewe jamaa ni muongo na unatatizo la kisaikolojia muone Dr wa Saikolojia, mathead yako ni ya uongo uwongo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…