Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Usiogope kufa Kwa sababu hata ukifa hutajua kama umekufa
Hii imekaa kivip?

Mbona ukifa mtu unajua kama umekufa maana unakuwepo kwenye njozi zisizomalizika either ni raha au mateso.

Kulala ni nusu ya kufa mkuu.
 
Yani nife Kwa mema gani nilofanya yatayifanya nikifa mapema nikapumzike kma sio nitakuwa mzimu tu nisumbue watu Allah anipe pumzi niishi mqisha marefu nilee wajukuu zangu
Inshallah ishi sana mdogo wangu πŸ€—
 
Alafn
Hayo mawazo yenu siku hizi sio sifa mjuee...mnakimbilia wapi? Majukumu yenu mnamwachia nani? Hujamaliza kazi zako hapa duniani unalazimisha kwenda ukikataliwa huko urudishwe duniani kama kuku utamlaumu nani?.
Alaf nyie watu mnaojiaminisha kurudi tena duniani baada ya kufa kwa kuzaliwa tena mnachukulia maisha marahisi sana aisee πŸ˜…πŸ˜…
 
Aaliyyah nakushukuru sana 🀣🀣🀣
Sema nini hizi thread siku hizi zinakuja usiku tu sijui kwanini yaani
 
Watu wako single wanachanganyikiwa sana shida ndo hiyo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mtu uko peke yako unachanganyikiwa sasa mkiwa wawili itakuwaje? Si wataanza na kuokota makopo na kula kwenye macontainer ya kuhifadhia taka? Uzembe tu huo. Allah atujalie mioyo yenye kustahimili magumu
 
Bangi hizi inaonesha hata Hela Hana huyu ,dada zako hawapo ongea nao
 

[emoji3][emoji3][emoji23]ukitaka kufa niuzie hyo gar nina 2M Mwanangu tusaidie namm nina ndoto za kudrive
 
Nakusihi ndugu yangu usiwaze kujidhuru, wengine hata kula na makazi ni shida Ila tumeamua kukomaa ili kutimiza kusudi lililotuleta duniani. Kwa jinsi ulivyokuja duniani bila kuomba basi subiri hata kuondoka kwako kuje automatic. hakuna kipindi kigumu kinachoishi maisha yote. Ipo siku utasahau na utakuwa katika hali ya kawaida.
 
Jamaa anashindwa kujikaza.

Sasa hiyo hali ya kufa kufa inakuwa inasababishwa na nini? Madeni, stress za mapenzi au nini?
 
Jamaa anashindwa kujikaza.

Sasa hiyo hali ya kufa kufa inakuwa inasababishwa na nini? Madeni, stress za mapenzi au nini?
Ubwege tu. Anatafuta papuchi kwa style yake humwoni anakwambia pesa anazo sana anaweza nunua chochote? Ni mbinu ya kupata mademu JF kirahisi
 
Jifunzs kuishi katika philosophy ya ustoa , Uzi hupo umu tafute usome
 
When the going gets tough, the tough get going.
 
Mi wiki ijayo nakufa

Kwa nini usifanye wiki hii na ikiwezekana iwe leo kabisa....

Jinsi unavyojichelewesha kuna watu unawabania riziki zao, kuna watu wa matenti, viti, wauza majeneza, wajenzi wa kaburi n.k...

Waswahili wanasema kufa kufaana.
 
Pole sana unahitaji psychotherapy usijikatie tamaa tafuta wataalamu uzungumze nao.maisha lazima yaendelee baada ya kupitia trauma.be strong
 
Majitu ya dini bwana, una hakika ni mkristo?
Yesu ni njia pekee, Kweli na Uzima .

Yesu au ISSA ni WA Ulimwengu mzima, ndiye atupaye PUMZI Bure.

Yesu ndiye Ishara ya kiyama (Quran 3:45). Ndiye AJAYE kuuhukumu Ulimwengu juu ya DHAMBI.

Yesu hakuleta Dini, Bali IMANI.
Pale Bustani ya EDEN hapakuwa na DINI yoyote lakini palikuwa na IBADA na Imani. Hivyo Kila mwenye PUMZI, awe au asiwe na DINI anamwitaji Yesu.


Angalizo. Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Mtu uko peke yako unachanganyikiwa sasa mkiwa wawili itakuwaje? Si wataanza na kuokota makopo na kula kwenye macontainer ya kuhifadhia taka? Uzembe tu huo. Allah atujalie mioyo yenye kustahimili magumu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…