Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

Usiogope kufa Kwa sababu hata ukifa hutajua kama umekufa
Hii imekaa kivip?

Mbona ukifa mtu unajua kama umekufa maana unakuwepo kwenye njozi zisizomalizika either ni raha au mateso.

Kulala ni nusu ya kufa mkuu.
 
Yani nife Kwa mema gani nilofanya yatayifanya nikifa mapema nikapumzike kma sio nitakuwa mzimu tu nisumbue watu Allah anipe pumzi niishi mqisha marefu nilee wajukuu zangu
Inshallah ishi sana mdogo wangu 🤗
 
We jinsia gani?
Yule jamaa mwingine,"Macron" alisema anataka kujiua,what hapenned to 'im?"
Well,tukueleze what will happen. Ukijiua,you will get out of your body,and go to the Spirit World. Kule utakutana na very bad-tempered people ambao watakuuliza kwa nini umejiua ? Halafu watakwambia ,pumzika hapa. Halafu baada ya muda mfupi,watafanya mpango,uzaliwe tena duniani,umalizie span of life uliyoikimbia.
Alafn
Hayo mawazo yenu siku hizi sio sifa mjuee...mnakimbilia wapi? Majukumu yenu mnamwachia nani? Hujamaliza kazi zako hapa duniani unalazimisha kwenda ukikataliwa huko urudishwe duniani kama kuku utamlaumu nani?.
Alaf nyie watu mnaojiaminisha kurudi tena duniani baada ya kufa kwa kuzaliwa tena mnachukulia maisha marahisi sana aisee 😅😅
 
Aaliyyah nakushukuru sana 🤣🤣🤣
Sema nini hizi thread siku hizi zinakuja usiku tu sijui kwanini yaani
 
Watu wako single wanachanganyikiwa sana shida ndo hiyo 😀😀😀
Mtu uko peke yako unachanganyikiwa sasa mkiwa wawili itakuwaje? Si wataanza na kuokota makopo na kula kwenye macontainer ya kuhifadhia taka? Uzembe tu huo. Allah atujalie mioyo yenye kustahimili magumu
 
Bangi hizi inaonesha hata Hela Hana huyu ,dada zako hawapo ongea nao
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forum member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"

[emoji3][emoji3][emoji23]ukitaka kufa niuzie hyo gar nina 2M Mwanangu tusaidie namm nina ndoto za kudrive
 
Nakusihi ndugu yangu usiwaze kujidhuru, wengine hata kula na makazi ni shida Ila tumeamua kukomaa ili kutimiza kusudi lililotuleta duniani. Kwa jinsi ulivyokuja duniani bila kuomba basi subiri hata kuondoka kwako kuje automatic. hakuna kipindi kigumu kinachoishi maisha yote. Ipo siku utasahau na utakuwa katika hali ya kawaida.
 
Mimi mwenzake nimekuwa nikijikia hivi mwaka wa 30 sasa na hali hii kama yake. Na ninadunda tu yeye miaka 5 tu analia lia humu? Utoto wa mama tu huo. Mimi nimeanza jisikia kufa kufa miaka mingi sana na wala sijawahi waambia watu. Na pesa ninazo mpaka naumwa.....
Jamaa anashindwa kujikaza.

Sasa hiyo hali ya kufa kufa inakuwa inasababishwa na nini? Madeni, stress za mapenzi au nini?
 
Jamaa anashindwa kujikaza.

Sasa hiyo hali ya kufa kufa inakuwa inasababishwa na nini? Madeni, stress za mapenzi au nini?
Ubwege tu. Anatafuta papuchi kwa style yake humwoni anakwambia pesa anazo sana anaweza nunua chochote? Ni mbinu ya kupata mademu JF kirahisi
 
Jifunzs kuishi katika philosophy ya ustoa , Uzi hupo umu tafute usome
 
Binadamu yeyote yule lazima uelewe kifo kipo na kufa kupo.

Whether you like it or not. Death is a Must for everyone and you can't control nature, Thats the way it is.

Forget the past.Wewe sio wa kwanza kufiwa na mama.

Kuna watu wana shida zaidi yako na wanakaza.
When the going gets tough, the tough get going.
 
Mi wiki ijayo nakufa

Kwa nini usifanye wiki hii na ikiwezekana iwe leo kabisa....

Jinsi unavyojichelewesha kuna watu unawabania riziki zao, kuna watu wa matenti, viti, wauza majeneza, wajenzi wa kaburi n.k...

Waswahili wanasema kufa kufaana.
 
Pole sana unahitaji psychotherapy usijikatie tamaa tafuta wataalamu uzungumze nao.maisha lazima yaendelee baada ya kupitia trauma.be strong
 
Majitu ya dini bwana, una hakika ni mkristo?
Yesu ni njia pekee, Kweli na Uzima .

Yesu au ISSA ni WA Ulimwengu mzima, ndiye atupaye PUMZI Bure.

Yesu ndiye Ishara ya kiyama (Quran 3:45). Ndiye AJAYE kuuhukumu Ulimwengu juu ya DHAMBI.

Yesu hakuleta Dini, Bali IMANI.
Pale Bustani ya EDEN hapakuwa na DINI yoyote lakini palikuwa na IBADA na Imani. Hivyo Kila mwenye PUMZI, awe au asiwe na DINI anamwitaji Yesu.


Angalizo. Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Mtu uko peke yako unachanganyikiwa sasa mkiwa wawili itakuwaje? Si wataanza na kuokota makopo na kula kwenye macontainer ya kuhifadhia taka? Uzembe tu huo. Allah atujalie mioyo yenye kustahimili magumu
😀😀😀
 
Back
Top Bottom