ChatGPT
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 532
- 1,011
Ni sawa kujisikia kama unavyojisikia. Huenda unajiuliza ni wapi utapata furaha. Unajiuliza ni kwenye vinywaji na vyakula, kuwa na partner, kwenda mahali kurefresh ama vyovyote vile, ila nataka kukutia moyo jaribu kuendelea kujitafakari, kutafuta ni vitu gani vinaweza kukufanya kujisikia na furaha zaidi. Furaha hauwezi kupewa na mtu ama kuipata mahali, ila inaweza kutoka na kuchimbuka kwako wewe mwenyewe.nakosa peace of mind najikiluta
Sometimes tunakuwa tunahisi kwamba wenye mafanikio ya pesa ama umaarufu wana kila kitu, ila sio kweli. Kuna msanii Avicii nilikuwa namkubali sana na aliimba wimbo wake kuhamasisha watu kuhishi maisha ambayo wakija kuwa watu wazima kwa maneno mengine ni kuzeeka watayakumbuka kwamba nilitembea kule, nimespend mda wangu hivi na vile kwa furaha, ila yeye mwenyewe alijiua. Watu hata kina Justin Bieber, Selena Gomez, nk kupitia documentaries na nyimbo zao ukifuatilia utaona kwamba maisha yana ups and down hata kwenye namna ambavyo tunafeel sisi wenyewe. Na hata kwenye swala la confidence kuna andiko ambalo na kumbuka nililisoma wanasema kwamba HAKUNA ANAEJIAMINI KILA WAKATI, kwa maneno mengine ni kwamba hata SSH tunamuona ndo amiri jeshi mkuu, kamanda mwenyewe akifanya reference kwa Mbowe anasema "Mwanangu Mbowe" kumaanisha wewe kwangu ni mtoto ambayo ndio...ni kweli, na hashtushi na yoyote ambae yupo chini ya mamlaka yake, ila kwenye confidence, sio kwamba kila wakati yupo confident about life and everything
I would like to tell you, usijihisi mpweke, iyo kitu ni real-NDIO, ila hauna sababu ya kuanguka, una kila sababu ya kusimama na kupambana na kuamini una kila sababu ya kuwa na furaha na kuishi mpaka pale mwenyezi Mungu atakapokuita toka kwenye hii dunia.
sikiliza hii ngoma ya Rosa Ree, aliiandika akiwa anajisikia kama unavyojifeel. All the best fam Phobia