Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

nakosa peace of mind najikiluta
Ni sawa kujisikia kama unavyojisikia. Huenda unajiuliza ni wapi utapata furaha. Unajiuliza ni kwenye vinywaji na vyakula, kuwa na partner, kwenda mahali kurefresh ama vyovyote vile, ila nataka kukutia moyo jaribu kuendelea kujitafakari, kutafuta ni vitu gani vinaweza kukufanya kujisikia na furaha zaidi. Furaha hauwezi kupewa na mtu ama kuipata mahali, ila inaweza kutoka na kuchimbuka kwako wewe mwenyewe.
Sometimes tunakuwa tunahisi kwamba wenye mafanikio ya pesa ama umaarufu wana kila kitu, ila sio kweli. Kuna msanii Avicii nilikuwa namkubali sana na aliimba wimbo wake kuhamasisha watu kuhishi maisha ambayo wakija kuwa watu wazima kwa maneno mengine ni kuzeeka watayakumbuka kwamba nilitembea kule, nimespend mda wangu hivi na vile kwa furaha, ila yeye mwenyewe alijiua. Watu hata kina Justin Bieber, Selena Gomez, nk kupitia documentaries na nyimbo zao ukifuatilia utaona kwamba maisha yana ups and down hata kwenye namna ambavyo tunafeel sisi wenyewe. Na hata kwenye swala la confidence kuna andiko ambalo na kumbuka nililisoma wanasema kwamba HAKUNA ANAEJIAMINI KILA WAKATI, kwa maneno mengine ni kwamba hata SSH tunamuona ndo amiri jeshi mkuu, kamanda mwenyewe akifanya reference kwa Mbowe anasema "Mwanangu Mbowe" kumaanisha wewe kwangu ni mtoto ambayo ndio...ni kweli, na hashtushi na yoyote ambae yupo chini ya mamlaka yake, ila kwenye confidence, sio kwamba kila wakati yupo confident about life and everything
I would like to tell you, usijihisi mpweke, iyo kitu ni real-NDIO, ila hauna sababu ya kuanguka, una kila sababu ya kusimama na kupambana na kuamini una kila sababu ya kuwa na furaha na kuishi mpaka pale mwenyezi Mungu atakapokuita toka kwenye hii dunia.
sikiliza hii ngoma ya Rosa Ree, aliiandika akiwa anajisikia kama unavyojifeel. All the best fam Phobia

Daah,ni vile maisha sio bundle,ningeomba unipunguzie kifurushi mi niendelee na mpambano,,,kurudisha number bila kuambiwa na refa sio poa
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forums member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
2017 to 2023 najua haikuwa rahisi kwako but umeweza kufika,your strong.Kuna wengine wangeshapotea muda mrefu sana but wewe mpaka leo upo hapa nasisi that means utakuwa na sisi for long cause mpaka umekuja Jamii forum kutushirikisha that means unataka kuishi but deeply ukiwa na unyonge umekutawala.
Pesa sio kila kitu tena haswa kama wale uliowapenda zaidi hawapo na wewe ni lazma utaona maisha ni meaningless na hii dunia imejaa wanafki na wapigaji cause unaweza kumuamini mtu umwambie unachofeel atleast upunguze maumivu kidogo but badala yake unajiingiza kwenye matatizo makubwa.
Don’t give up,kama wewe ni christian naomba usali sana ,cause you need Jesus in you.& if you’re a muslim you do the same just pray but don’t give up,don’t lose hope..unaweza kujiona umemaliza kuishi kwa sababu una almost everything kumbe bado una unamchango mkubwa kwenye haya maisha.labda hata kumuokoa mtu atakayejaribu kufanya kama unachotaka kukifanya wewe leo hii..be strong
 
Huyu jamaa yetu bado yupo hai au ndio basi tena? Mkuu Phobia hebu jitokeze nijue kama bado unapumua.
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forums member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
Niachie charge yako ya simu kabla hujakufa...
 
Pole sana usijinyonge tu.Ondoa hayo mawazo ya kuwaza kufa.
Na Kama kuna mtu pengine ulimdhurumu au ulimfanyia jambo lolote baya, nenda ukamuombe msamaha.
 
Mkuu nipo Sina KAZI Kam utahitaji mtu wa kubonga nae ur welcom 24 hrs
 
Huitaji mtaalam Wala Nini tafuta mke upate kutulia
 
  • Kama username name yako - Phobia ilivyo.
  • Ikiwa kama hujaingia kwenye 'mkataba', worry not. USIJIOGOPESHE JAMAA
 
Wenye pesa na mna stress inaniwia vigumu kuwaelewa. Hapo ndo msemo wa pesa sio kila kitu huwaibukia..

Pole sana mkuu, kuondokewa na mpendwa wako, msiri wako ni jambo linaloumiza sana hasa kama kuna takwa juu yake hukulitimiza mpaka umauti unamfika.

Tumia elimu yako kusoma vitabu vitavyokuponya hali yako lakini pia nenda kwa wataalamu wa saikolojia, nadhani wewe pekee huwezi kulikabili hilo, unahitaji msaada.
 
Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea

After death of lovely mother 2017 nikiwa kijana sana mdogo sijakaa sawa, post traumatic stress kwangu ni shida nakosa mtu wa kumuambia what my heart feel about only mother alikuwa mtu pekee aambaye nilikuwa naweza kumuambia kitu chochote kile

Jamii forums member mkiona kimya wala mshishangae napitia changamoto kubwa mno( post traumatic stress)/inaniadhiri mno japo nina pesa ya kufanyia au kupata chochote ila nakosa peace of mind najikiluta

" bye bye"
nicheki PM tuyajenge nahisi tunapitia the same problems

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom