Akina dada, kwanini mnakubali kutoa namba kisha mkipigiwa simu hampokei?

Kwa hiyo hii ndio aina ya wanawake waliopo kwenye jamii yetu.. ukimuomba namba ya simu tafsiri yake ni umemtaka.

Asilimia kubwa huu ndio ukweli. Si rahisi mwanaume kutaka namba ya mwanamke si ndugu yake, au hata useme ni work mate ama sababu yoyote ya lazima ya kukufanya uwe na namba zake kama si kumtaka. Ni wachache sana lkn wengi wakishataka namba ya mwanamke kinachofata ni mtongozo.
 
Mara nyingi huwa wanakuwa hivo kama hawakuvutiwa na 1st impression yako.

Mimi huwa naacha tunabaki tu kuwa status viewers, the next time akinicheki namimi namu ignore maisha yanaendelea
 
Ngono imechukua nafasi kubwa sana kwenye ubongo wa muafrica.
 
Sasa wewe mdogo wangu ushampigia mtu simu mara zaidi ya tatu na inaita ila hapokei bado hupati message kuwa hayuko interested na unaendelea kumpigia kwa wiki mbili? Hivi uliambia yuko au wako wanawake? Usimpe picha demu kuwa uko desperate nae, mpigie mara moja kwa siku, then baada ya siku moja au mbili unampigia tena kama hapokei unafuta number simple! Lalamika lalamika zitakupa maradhi ya moyo bure!
 

Mzee baba si umeomba namba ukapewa, kwani mlikubaliana baada ya kupeana namba ni namna gani ya kuitumia?

Omba namba, mtumie miamala...
 
Tatizo ni kwa nini unaendelea kumpigia simu kwa wiki mbili mtu asiepokea simu yako na wala hajaribu kukupigia wewe na wala hakutumii ujumbe kukupa excuse kwa nini hakuweza kupokea simu yako na bado mtu analalamika!!!!
 
Dada ondokana na hii mentality ya kitoto na ya kishamba, inaelezea vitu vingi sana kuhusu wewe ikiwemo makuzi yako.

Kwanza ni wanaume wangapi ulio interact nao wakakuomba namba kisha wakawa hawana kingine zaidi ya kukutongoza?

Kwa mindset hii mtakuwa mnajizbia fursa zingine nyie wenyewe kwa kuamini kwamba eti most of men wanatembea huku wanawaza ngono tu akilini mwao..!!

Na pia mwanamke mwenye hii mentality mara nyingi anakuwaga hana kingine Cha ku offer zaidi ya Sex na ndio maana wenye hii mentality kwa hapa Afrika mashariki ni nyie wanawake wa kibongo tu.

Wanawake wa Kenya wako so opened minded na suala la kutoa namba kwa stranger kwao sio inshu kwa sababu wanaamini kuna mambo sana ya kushare kati ya mwanaume na mwanamke mbali na ngono
 
Kwanza mi nikishachukua namba Kwa demu Huwa nasev jina baya Ili asipopokea nifurahi moyoni... Kwa ww ningekusev "DEMU ANAYENUKA"
 
Ngono imechukua nafasi kubwa sana kwenye ubongo wa muafrica.
Imefika mahali watu Wana amini kitu pekee kinachomuunganisha mwanamke na mwanaume ambao sio ndugu wa Damu ni ngono... Mentality ya kishenzy sana
 
Mentality ya kitoto na ya kishamba? Haya bwana hayo ni mawazo yako nayaheshimu. Uwe na siku njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…