permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kumbe mpaka wao wana habari ya kupigwa mkono ?Usisahau na wamesema kabisa yanga kuifunga simba goal 5 haimaanishi yanga ni kubwa kuliko simba huwa inatokea team ndogo kufunga timu kubwa ni bahati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alooo yanga wameshapigwa kisaikolojia teyari kesho kazi inamalizwa uwanjani mapema kabisa.
Hawezi kisifia YangaNi Kama useme kule Italia juventus ni namba 2 wakati inajulikana wao ndio mabingwa wa kihistoria wa scudetto.
Huyo Hamas yupo sahihi sababu kwa Miaka ya karibuni wamekutana Mara nyingi zaidi na simba kuliko yanga na wakashindwa na kushinda .
Lakini kwakuwa wameongea wao sio Si units ya Mpira wa miguu na takwimu za caf 2022-2023 zimeweka yanga Kwenye tano bora .
Wasemaji wa Al Ahly wamekuwa wengi sana kwa sasa.Yanga inabidi wakubali tu kuwa wao bado ni immature hata Al Ahly kwenye mechi ya Yanga hajawa na maandalizi makubwa kama aliyofanya kwetu sisi
Kipindi anajiandaa kucheza na sisi walikaa almost wiki na nusu bila mechi yeyote na katika hizo siku wachezaji walizuiwa kushika simu zao.
Lakini mechi ya kesho ni kama Al Ahly wamestukizwa tu katikati ya ratiba zao.
Baada ya Al Ahly kucheza mechi yao ya kwanza ya group stage tarehe 25, juzi tarehe 28 kaingia kupiga mechi ya ligi kuu
Lakini ratiba ingekuwa inamkutanisha Al Ahly na timu kubwa basi hii mechi ya juzi tarehe 28 ingesogezwa mbele ili kujipa muda wa kujiandaa zaidi.
Al Ahly katika mechi zake dhidi ya Simba mpaka sasa hakuna bingwa, tumefungana mara tatu na sare zipo 3
Wakati katika mechi nne walizokutana Yanga na Al Ahly, Yanga kashinda mechi moja na sare moja zilizobaki ni vipigo.
Halafu badala wanakuja kumvalia misuli
waambie hamsa zao kama tulizompiga huyo mkewe kolo fc zipo pale paleHapo vip!
Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa Alhaly Ally dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga.
Wachezaji wa Alihy Ally wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania na namba moja kwa ubora ni Simba.
Kama muarabu aliyeandikwa kwenye vitabu vyote vya dini amekiri Simba ndio timu bora na namba one Tanzania..wewe ngozi nyeusi mwenye ukurutu mpaka kwenye akili ni nani?maana ake huna akili na medula oblangata na ubongo wa mbele itakuwa na ugonjwa wa ubishi na upumbavu.
Kenge wote waliopigwa na Yanga wanajificha nyuma ya Al AhylWasemaji wa Al Ahly wamekuwa wengi sana kwa sasa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
We kwenye akili yako Tanzania hii Timu kubwa ni IPI?Usisahau na wamesema kabisa yanga kuifunga simba goal 5 haimaanishi yanga ni kubwa kuliko simba huwa inatokea team ndogo kufunga timu kubwa ni bahati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alooo yanga wameshapigwa kisaikolojia teyari kesho kazi inamalizwa uwanjani mapema kabisa.
Yaani Yanga kuifunga Simba ni BAHATI? Hivi huwa mnaandika kwa kutumia akili hizihizi au umetumia MK...U....NDU kuandika?Kesho yanga jiwekeni sawa kiakili huo ni ukweli aisee kuifunga Simba ilikuwa bahati tu nyie kwa haya mashindano Bado ni underdog taka msitake
IHEFU alimfunga YANGA akiwa TAIFA sio?Club iliyonifunga goli 5 ilifungwa goli 2 na Ihefu ambayo ipo mwishoni mwa msimamo wa ligi.
Kwasababu Club kubwa haiwezi kufungwa na Club ndogo basi tukubali kuwa Ihefu ni wakubwa kwenu.
Kama utabisha hilo kuwa Ihefu ni mkubwa kwako, vipi na sisi tukisema tukubaliane na zile kashfa za rushwa zilizohusishwa kwenye mechi yenu mliyotufunga?
Yes inaonekana ni afisa wa ubalozi yupo Daressalaam muda mrefu ameshakuwa mswahili swahili Hata majibu yake yanaonekana “even with simba it is easy for me “ akimaanisha Hata wakicheza na simba ni rahisi kwake na ushindi wa 5-1 anasema it is lucky hata takwimu za mchezo ni luckyHawezi kisifia Yanga
Hata ningekuwa mimi ningesema kuwa Zamalek ndo klabu kubwa Afrika
Unawajua CAF?ongeeni muwezavyo mume wenu nae akikaa sawa anapigwa hamsa...CAF ndo watu pekee watakaoweza kutuaminisha kwamba sisi timu ndogo coz kwenye timu bora 5 za CAF nyie makolomoxtra fc hampo sisi tupo MAANAZI YA JUZI NYIE
Habari wanazo maana kila kitu kipo kwenye data
Wanajua kuhusu Rank ya CAF tu Sio IFFHSHawa Al Ahly ina maana hawajui chochote kuhusu IFFHS?
Huyo tupo naye kila siku hapa Kariakoo atashindwa kuyajua hayo matokeo? Huyo hata kizaramo anakipiga freshh kabisaNilijua ushindi wa Yanga huko nje hakuna anayeujua
Aahaaaa
Hoya SAYVILLE njoo huku
Aahaaaaa
Maana ulisema ushindi wa Yanga hakuna anayeufahamu nje Tanzania
Balozi wa Misri anakuumbua huku
Mbona Simba waliisifia wakiwa wanakuja kucheza na sisi?Hawezi kisifia Yanga
Hata ningekuwa mimi ningesema kuwa Zamalek ndo klabu kubwa Afrika
Club kubwa ni kubwa tu, real madrid huwa anafungwa tano na barcelona lakin hyo haondoi kwamba wao ndo club bora kule spainClub number 1 imepigwa goli 5
Kama walivyosema watani zetuWe kwenye akili yako Tanzania hii Timu kubwa ni IPI?
Mtani wenu ni nani?Kama walivyosema watani zetu