Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Yanga mmepanic
 
Ubingwa wa nchi husika baina ya
Club number 1 vs Club number 2 nchini;

29πŸ† πŸ† kwa klabu namba 2
28πŸ†πŸ†holaa
27 πŸ†πŸ†holaa
26πŸ†πŸ†holaa
25πŸ†πŸ†holaa
24πŸ†πŸ†holaa
23πŸ†πŸ†holaa
22πŸ†πŸ†kwa klabu namba 1

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kweli Umbumbumbu ni mzigo
 
Nyinyi nyote ni mbumbumbu
 
Watakucheka wenzako

Yanga ambaye kwa miaka 25 ndio anafika makundi ndio awe Giant mbele ya mtu ambaye kwa misimu zaidi ya mitatu anafika robo fainali CL?

Hata ukifanya tathmini ya malengo ya timu utajua ni timu ipi ni immature na ipi ni big fish.

Malengo ya Yanga ni kufika hatua ya makundi Club Bingwa.

Malengo ya Simba ni kucheza nusu au fainali ya Club Bingwa.

Ushawahi kuona wapi malengo ya anaye jiita Giant yakawa madogo kuliko asiyekuwa Giant?
 
we bwege Al Ahly ni takataka gani kupanga viwango? Nyau tu hao
kata
 
Nyinyi nyote ni mbumbumbu
Mbumbumbu maana yake akili anazo ila sio nyingi.

Ila kwa ishu ya Manara ni kwamba hata hizo chache hamna, bali kwa watu wawili tu ambao wanafahamika na humu hawapo
 
we bwege Al Ahly ni takataka gani kupanga viwango? Nyau tu hao

kata
Al Ahly wametumia source za CAF

So kabla hata hujaanza kubisha unatakiwa ujiulize kwanini African Football League ni mashindano yaliyohusisha timu 8 bora

Kwanini kwenye hizo 8 Gongowazi haipo?

Bahati mbaya napoteza muda wangu kumuelewesha mtu ambaye tuliambiwa hana akili kwasababu nauhakika kuwa wewe sio Sunday Manara wala Kikwete
 
Kwa maana iyo kufika robo fainali ndio ugiant wako sio? Unajua maana ya malengo? Msimu uliopita malengo yako yalikuwa kufika hatua Gani na uliishia wapi? Na yanga malengo yake yalikuwa ni yapi na waliishia wapi? Msimu huu umeweka malengo ya kufika NUSU fainali vipi uwezo wako uko sawa na aliyeweka malengo ya kufika makundi kwanza? Mwenye squad inayokuzidi ubora Kila idara kaweka malengo ya kufika kwanza makundi lakini wewe mwenye squad ya tia maji tia maji umeweka malengo ya kufika NUSU fainali unadhani mpira ni siasa? Kwani yanga walishindwa kutamka na kuweka malengo ya kufika NUSU fainali, la hasha but wanao viongozi wanaoujua mpira na sio watu wa propaganda kufurahisha genge Kama walivyo viongozi wenu waliochota akili zenu! Unasema unaenda peponi wakati ujafa ulishaona wapi, unao wakina john boko alafu unasema unataka kufika NUSU fainali unakuwa na akili timamu kweli?
 
Unajua vigezo vilivyotumika kuchagua timu za kushiriki African football league? Acha propaganda mfu wewe unajivua nguo bure hapa, Kama kigezo kingekuwa ubora wa timu basi yanga angekuwa hapo bila wasi wasi usijitoe ufahamu
 
Mbumbumbu maana yake akili anazo ila sio nyingi.

Ila kwa ishu ya Manara ni kwamba hata hizo chache hamna, bali kwa watu wawili tu ambao wanafahamika na humu hawapo
Mbumbumbu maana yake dish limeyumba, kwa inshu ya rage maana yake ni kwamba nyinyi makolo wote ni mataahira, mapunguwani.
 
Msimu uliopita Yanga alikuwa na malengo kama haya aliyokuwa nayo mwaka huu ya kufika makundi Club Bingwa

Aliyafikia hayo malengo?

Hatua niliyoishia mwaka jana ni hatua ambayo bado haipo kwenye matazamio yako kama malengo.

Ulipotolewa kwenye mashindano magumu na kuangukia kwa washuka daraja ndio ukafika fainali.

Na hapo kumbuka mpaka unafika huko haikuwa malengo bali coincidence tu.

CAF walipoona timu yenu imefika fainali wakaona mpira ni kama umedharaulika

Nyinyi ndio mmefanya CAF watengue sheria ya walioshindwa Club Bingwa wasitupwe Shirikisho kama second chance wajitafute tena.
 
Nyie watieni ujinga hao Al Ahly, Majibu ya ujinga huo ni saa 2:45 kesho usiku.
 
Unajua vigezo vilivyotumika kuchagua timu za kushiriki African football league? Acha propaganda mfu wewe unajivua nguo bure hapa, Kama kigezo kingekuwa ubora wa timu basi yanga angekuwa hapo bila wasi wasi usijitoe ufahamu
Na link ukitaka kujiridhisha hii hapa tena valid source kutoka CAF wenyewe

 
Mbumbumbu maana yake dish limeyumba, kwa inshu ya rage maana yake ni kwamba nyinyi makolo wote ni mataahira, mapunguwani.
Punguani maana yake amepungukiwa sio kama hana kabisa.

Asiyekuwa na akili maana yake yupo negative hana chochote

Na tukienda kukupa maneno ya Lucy Eymael tutakuja kugundua kilichosemwa na Manata ni cha kweli
 
Bayern Munich ni klabu namba 1 ujerumani na ni bingwa mara nyingi ujerumani.
Ahly ni klabu namba moja misri na ni bingwa mara nyingi misri.
R. Madrid ni klabu namba moja Spain na ni bingwa mara nyingi Spain.
Wydad namba moja Morocco bingwa mara nyingi Morocco.
Njoo kwa zuwena fc sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Once mbumbumbu always mbumbumbu.
 
 
Ndio maana nakwambia wewe ni amnazo na familia yako imepata hasara, iyo michuano ya washuka daraja mbona ndio ulienda kuliaibisha taifa kwa ulozi hili angalau uvuke kwenda NUSU fainali??
Kama fainali aliyofika yanga ilikuwa ni rahisi wewe ulishindwa Nini kufika pale alipofika yanga??
Unakwenda kuchoma moto uwanja wa watu alafu unakuja hapa kutubania pua eti mashindano ya washuka darajaπŸ€”πŸ€”
Mashindano ayo kuumbuka ndiyo yaliyomtoa bingwa wa mabingwa barani Africa USM algier ambaye alimkanda bingwa wa klabu bingwa unayosema ulishiriki wewe na kufurushwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…