Al-Jazeera ni TV ya ovyo, kwenye vita ya Israel vs Hamas hawasemi athari zinazotokea upande wa Hamas

Mkuu IDF wamepigana na waarabu miaka 60 na hakuna jpya waarabu wamefanya zaidi ya kulia lia tu
Umesahau vita ya PLO NA IDF 1982 mjini beirut.
Tatizo la waarabu na waislamu ngonjera nyingiiiiii.
by the way hizo vita dhidi ya israel mara nyingi zinakuwa ngumu kwasababu ya support kubwa anayopata kutoka US na ulaya,tofauti na hapo israel hawezi pigana na yeyote pale middle east.
 
by the way hizo vita dhidi ya israel mara nyingi zinakuwa ngumu kwasababu ya support kubwa anayopata kutoka US na ulaya,tofauti na hapo israel hawezi pigana yeyote pale middle east.
Gdp ya israel 🇮🇱 ni usd bill 522 mwaka 22 msaada anaopokea kutoka marekani ni dola bill 3 kwa mwaka … sasa huo msaada ndio unaleta tofauti kwenye medani… WAARABU NI WANAFIKI hawana ushirikiano ni ushirikiano wa kinafki-nafki ndio kinachowarudisha nyuma… 🇪🇬 Egypt anaalaani kinachotokea Gaza lakini hataki hata kupokea mkimbizi mmoja kutoka Gaza
 
full of false
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
Hujasikia mpaka sasa Wapalestina 18,000 wameuliwa na mabomu ya mazayuni? Kati yao hao, watoto ni zaidi ya 10,000?

Twambie wewe, wajomba wa mungu wako wanatangazwa wapi vifo vyao?
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
katangaze wewe km ndio unaujua ukweli kuliko Al-Jazeera
 
Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake.

Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima.

Propaganda zingine itumike na akili kidogo basi.
Al Jazeera ni islam siasa kali wale; si wako kule Qatar ambao ndyo wafadhili wakubwa wa Hamas!!
 
Embu nipe facts sasa
amini nakwambia hiyo gdp ya israel haiwezi kumsaidia kitu kama US na ulaya watamuacha israel peke yake kwenye hii vita kama egypt na wenzie walivyoamua kukaa mbali na palestina..
 
Gdp ya israel 🇮🇱 ni usd bill 522 mwaka 22 msaada anaopokea kutoka marekani ni dola bill 3 kwa mwaka … sasa huo msaada ndio unaleta tofauti kwenye medani… WAARABU NI WANAFIKI hawana ushirikiano ni ushirikiano wa kinafki-nafki ndio kinachowarudisha nyuma… 🇪🇬 Egypt anaalaani kinachotokea Gaza lakini hataki hata kupokea mkimbizi mmoja kutoka Gaza
Unajua kuna wakimbizi wangapi wa kipalestina waliopo Jordan na Lebanon ambo Israel amewazuia kuludi ktk nchi yao ili aendelee kumega maeneo ya kipalestina??

Waarabu wamekataa kupokea wakimbizi kwasabau wanajua hila za Israel na hawataki kurudia makosa
 
Mkuu kimbunga tena 🤣🤣😂😂😂😂😂
Waislam bhana na matatizo ya afya ya akili.
Hivi waislam na watu kama nyie nani mwenye matatizo ya akili??? Mlioamua kua watumwa wa hiyari wa wayahudi Mnaoamini Israel ni taifa la Mungu wakati ni taifa lililojaa ushoga, uuaji na usagaji.
 
Gdp ya israel [emoji1134] ni usd bill 522 mwaka 22 msaada anaopokea kutoka marekani ni dola bill 3 kwa mwaka … sasa huo msaada ndio unaleta tofauti kwenye medani… WAARABU NI WANAFIKI hawana ushirikiano ni ushirikiano wa kinafki-nafki ndio kinachowarudisha nyuma… [emoji1093] Egypt anaalaani kinachotokea Gaza lakini hataki hata kupokea mkimbizi mmoja kutoka Gaza
Ampokee ampeleke wapi
Egypt na waarabu wengine wamewastukia mnataka wawapokee watu wa ghaza ili iwe njia yakuwaondoa ukanda wa ghaza kinguvu
Poleni sana pambaneni kwanza na hamas acheni kulia lia
 
Al Jazeera ni tv ya kibaguzi na kichochezi dhidi ya wakristo, wayahudi na wazungu, mabaya ya waarabu hawaongelei hata moja, yaani waarabu kwao ndiyo wenye thamani hata waislamu weusi wanaouwawa Darfur Sudan na Myanmar hawaongelei wao ni Palestina tu wengine ni kama nyani wanatuona. Inaeneza chuki tu.
 
Natoa ushauri muhimu kwa mnaonukuu habari za TV na website za media za kimataifa kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, RT, CGTN.

Kwanza muwe na uelewa mzuri wa lugha. Yanayosemwa hayako “direct” kama mashabiki wanavyodhani. Pili, mjue nyingi ya habari za media hizo hazitangazwi kama facts za waliyoshuhudia au kuthibitisha. Ni zile walizoletewa toka vyanzo au “zinazodaiwa”. It is reported…, alleged …, believed…, estimated… Wanaziripoti halafu kutegemeana na uzito wanatoa uchambuzi wao. Haziko “black and white” kama mashabiki wanavyotamani iwe.

Ukiondoa media za kikomunisti zinazolenga propaganda zaidi, hizi zingine zinajitahidi kutoa habari zote lakini kuhakikisha msisitizo kwa zile zinazogusa wasikilizaji wao zaidi. Aljazeera waliona toka mwanzo kuwa adha zinazowapata Wapalestina ndani ya Gaza hazipewi uzito na media za magharibi. Hivyo wao wamejikita zaidi ndani ya Gaza kutoa taarifa hizo kwa undani zaidi.

CNN, BBC, na media zingine za magharibi zinaripoti zaidi yanayoendelea Israel kwa kuona kwamba mwelekeo na mwisho wa vita hii utategemea maamuzi yanayofanywa na Israel na washirika wake. Nafuatilia sana. Hawaripoti Israel kwa kuipendelea. Wanahoji kila kitu. Kuanzia misimamo mikali ya Netanyahu hadi “unconditional support” ya US kwa Israel wanaihoji. Kwamba serikali ya Biden na Israel kuzidi kupoteza international support wameripoti na kuijadili. Pia wanaripoti adha za Wapalestina kule Gaza na harakati za UN.

Kuhusu HAMAS si Aljazeera tu. Hata media za Magharibi hazina taarifa zake. Hao ni magaidi wanaofanya mashambulizi toka mafichoni. Ni kama kikundi cha wasiojulikana. Hawavai uniform kupambana ana kwa ana na jeshi la Israel. Wakifa au kuumia takwimu hazitoki. Za IDF zinatolewa na Israel ingawa nazo bado zinahitaji kuthibitishwa.

Ni muhimu kuitizama vita objectively. Vita ni kitu kibaya sana; si cha kushabikiwa kama mpira. Wengi wa wanaokufa, kupata vilema na kuteseka ni wale wasiohusika wala hata kujua sababu hasa ya madhila yanayowapata.

Zisikilizeni media zote kwa makini sana muelewe “complexity” ya “msiba wa Mashariki ya Kati”. It’s a real tragedy.
 
Fungua tv [emoji342] yako nawewe
Ambayo haienezi chuki ili uwe unaitazama hio
 
Hamas sio magaidi
Pia hakuna tv ama idhaa zinazokosa propaganda ziwe za west ama east wote lazma waangalie maslahi yao kwanza kabla ya maslahi yenu
Kwani hizo BBC CNN fox dw namfano wa hayo
Si walitangaza kwamba Iraq [emoji1131] kulikua na weapons of mass destruction vipi waliwahi kukuonesha
Hao hao si ndio walikua wanasema kwamba ukraine anashinda waliosema vita yake dhidi ya Russia sasa hv hata msaada wanafikiria kuikata
Nakupa tu faida walau aljazeera wanayotangaza 75% yanaweza kua na ukweli tena hasa yanayohusiana na kinachoendelea hapo ghaza
 
wewe unataka watangaze unavyotaka wewe labda tufahamishe TV gani ambayo inatangaza vifo vya Hamas, wewe bwege sana wanaokufa watoto kweli tunaona na data zinatoka hospital ndiyo maana watu waliofunikwa na kifusi hawatangazwi.
povu la nini we hamas wa madongo kuinama? Hiyo tv ni inafanya propaganda kwa hamas
 
Back
Top Bottom