Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

hii hoja haina shida ilimradi aliyeitoa tupo tunaish wote humu humu nchini tanzania (aka ulimwengu wa tatu) 😂🤣😅😆😁😄.......kipimo chako ww sio kipimo cha kila mtu....kuna wengne kuish nchi za ulimwengu wa tatu hawawezi...lkn mm na mtoa mada bado tunazunguka humu humu katika ulimwengu wa 3 ambao piah hata hizo zinazotumia cambridge curriculum hapa tz hazipo kwenye elfu 10 bora dunian.....milembe hoyeee
 
Wivu tu
 
Mimi mwaka huu nimewatoa wanangu hizi shule wapo wawili darasa la tatu nimeamua kila mwaka nawanunulia kiwanja kwa ile ada niliyokuwa natakiwa kulipa mpaka wanamaliza la saba kila mmoja atakuwa na asset ya viwanja angalau vitatu anauza kimoja anapata mtaji wa kuanzia maisha mtaani ...lah kama watataka kuendelea kusoma mfumo ni ule ule tu kikubwa badae sitaki wanione mzee wao niliishi kinyonge....zaidi niliona napoteza pesa nyingi na wavyosoma kayumba ni vilevile tu tofauti inabaki lugha tu.
 
Akili hana tu, English medium hata ingekuwa ya billion moja kwa mwaka, mtoto afundishwe na wazungu au wachina, ikiwa mtaala ni huu wa kibongo 🥹🥹🥹. Ni heri mtoto asome kayumba tu
 
Samahani wadau,mnaposema kumsomesha mtoto English medium mnamaanisga nini.Sipati jibu utamsomeshaje mtotobEnglish medium.Au mnamaanisha shule zinazotumia mtaala wa Kiingereza.
 
Ur the true son of ur father
 
Akili hana tu, English medium hata ingekuwa ya billion moja kwa mwaka, mtoto afundishwe na wazungu au wachina, ikiwa mtaala ni huu wa kibongo 🥹🥹🥹. Ni heri mtoto asome kayumba tu
Ur the true son of ur father.
 
Kwani kakulilia njaa ? Au ndio kuwashwa huko ?
Sentensi yako hii inajieleza yenyewe kwamba una stress.

Roho inakuuma kuona we unakohoa mi sikohoi

🤣🤣🤣🤣
 
Acha ije kuwa hivyo....lakini nitawalipia hadi mwisho....hayo yajayo acha yaklje....kwa saasa siwezi kuacha wajibu wangu kuwasomesha napoona kunafaa kwa sasa....shule za kata tunaachia nafasi wengine .....tukutane ajira portal baada 15yrs....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…