Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii hoja haina shida ilimradi aliyeitoa tupo tunaish wote humu humu nchini tanzania (aka ulimwengu wa tatu) 😂🤣😅😆😁😄.......kipimo chako ww sio kipimo cha kila mtu....kuna wengne kuish nchi za ulimwengu wa tatu hawawezi...lkn mm na mtoa mada bado tunazunguka humu humu katika ulimwengu wa 3 ambao piah hata hizo zinazotumia cambridge curriculum hapa tz hazipo kwenye elfu 10 bora dunian.....milembe hoyeeeHili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu..
Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee???
Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana.
Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda kujistress kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.
Ishi na kanuni hii👇
If your money is not bigger enough to buy you a house, then you have to eat that money.
English Medium ambayo at least unatakiwa kumpeleka mtoto wako ni ile inayo toza ada ya kuanzia at least sh.milioni kumi kwa mwaka na iwe chini ya taasisi. Lakini hizi za kulipa milioni moja na nusu mpaka 3 kwa mwaka au laki tatu kila baada ya miezi mitatu ma zenye kumilikiwa na kina Mr. And Mrs. MUGETTA , ni Kayumba zilizo changamka.. Yani nilipe hela mtoto wangu asomeshwe kiingereza na mtu ambae anaongea kiswahili kama lugha yake ya mawasiliano + kiingereza sio lugha yake ya kwanza? 🤣🤣🤣
Mwisho wa siku unaishia kumsumbua mtoto wako to atakapofika chuo kikuu. Atanyimwa mkopo na wewe hautokuwa na uwezo wa kulipa hayo mamilioni ya chuo..
To be honest, Hizi English Mediums ni kama brands tu na kumsomesha mtoto wako hasa mtoto wa kike kwenye shule hizo ni sawa na " ku mbrand tu" 🤣🤣🤣
Kwa wewe baba ambae bado hujasanuka let me remind you of one thing 👇
The most biggest challenge of being a father is that everyone want it NOW.
The children want to eat now. The children need to go to the hospital now. Their mother want to saloon Now. Their mother want you to have sex with her now. Etc.
Everything about a father is revolving around the word NOW.
And NOW
1. The schools are opened now.
2. Your children want to go to school now.
3. Your wife want to call her friends now boosting yo them ,that you have finished paid for the school fees.
4. And the teachers need the money now.
5. If you don't pay the money now.
6. Your children won't be allowed to go school now.
WHAT ARE YOU WAITING NOW GO AND PAY THE SCHOOL FEES NOW
Wivu tuHili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu..

Kwa mtazamo wake.Amezungumzia uhalisia
Kwani kakulilia njaa ? Au ndio kuwashwa huko ?Dah yani mtu akuonee wivu unae pata stress ?
Ndio
Dah yani mtu akuonee wivu unae pata stress ?
Anachokosoa na anachoandika vinaakisi kuwa kakurupuka huyoThe most biggest challenge of being a father is that everyone want it NOW.
Samahani wadau,mnaposema kumsomesha mtoto English medium mnamaanisga nini.Sipati jibu utamsomeshaje mtotobEnglish medium.Au mnamaanisha shule zinazotumia mtaala wa Kiingereza.Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu..
Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee???
Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana.
Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda kujistress kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.
Ishi na kanuni hii[emoji116]
If your money is not bigger enough to buy you a house, then you have to eat that money.
English Medium ambayo at least unatakiwa kumpeleka mtoto wako ni ile inayo toza ada ya kuanzia at least sh.milioni kumi kwa mwaka na iwe chini ya taasisi. Lakini hizi za kulipa milioni moja na nusu mpaka 3 kwa mwaka au laki tatu kila baada ya miezi mitatu ma zenye kumilikiwa na kina Mr. And Mrs. MUGETTA , ni Kayumba zilizo changamka.. Yani nilipe hela mtoto wangu asomeshwe kiingereza na mtu ambae anaongea kiswahili kama lugha yake ya mawasiliano + kiingereza sio lugha yake ya kwanza? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwisho wa siku unaishia kumsumbua mtoto wako to atakapofika chuo kikuu. Atanyimwa mkopo na wewe hautokuwa na uwezo wa kulipa hayo mamilioni ya chuo..
To be honest, Hizi English Mediums ni kama brands tu na kumsomesha mtoto wako hasa mtoto wa kike kwenye shule hizo ni sawa na " ku mbrand tu" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa wewe baba ambae bado hujasanuka let me remind you of one thing [emoji116]
The most biggest challenge of being a father is that everyone want it NOW.
The children want to eat now. The children need to go to the hospital now. Their mother want to saloon Now. Their mother want you to have sex with her now. Etc.
Everything about a father is revolving around the word NOW.
And NOW
1. The schools are opened now.
2. Your children want to go to school now.
3. Your wife want to call her friends now boosting yo them ,that you have finished paid for the school fees.
4. And the teachers need the money now.
5. If you don't pay the money now.
6. Your children won't be allowed to go school now.
WHAT ARE YOU WAITING NOW GO AND PAY THE SCHOOL FEES NOW
Ur the true son of ur fatherMimi mwaka huu nimewatoa wanangu hizi shule wapo wawili darasa la tatu nimeamua kila mwaka nawanunulia kiwanja kwa ile ada niliyokuwa natakiwa kulipa mpaka wanamaliza la saba kila mmoja atakuwa na asset ya viwanja angalau vitatu anauza kimoja anapata mtaji wa kuanzia maisha mtaani ...lah kama watataka kuendelea kusoma mfumo ni ule ule tu kikubwa badae sitaki wanione mzee wao niliishi kinyonge....zaidi niliona napoteza pesa nyingi na wavyosoma kayumba ni vilevile tu tofauti inabaki lugha tu.
Acha ije kuwa hivyo....lakini nitawalipia hadi mwisho....hayo yajayo acha yaklje....kwa saasa siwezi kuacha wajibu wangu kuwasomesha napoona kunafaa kwa sasa....shule za kata tunaachia nafasi wengine .....tukutane ajira portal baada 15yrs....Hao watoto wako unaowalipia million 20 am sure ,watakuja kukutana na waliosoma st kayumna pale Nkrumah hall UDSM ,na watamaliza chuo watakutana kwenye dashboard ya ajira portal kuomba ajira utumishi [emoji23],watasugua Sana miguu kwenda udom kufanya interview.....
Najua saizi unawaona kama next Samia suruhu ,au next JPM ,au next kasimu majaliwa
This life is meaningless [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuzidi kuuliza ujinga kama huuuUjinga ni nini?