Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

Kila mtu asomeshe mtoto wake pale anapoweza kulipa karo. Hata kama ukiamua kumpeleka mwanao akasome vidudu South Africa 🇿🇦 ruksa if you can afford. Maana hawa waliosoma kayumba kama sisi leo ndo wanatuuza kwa mikataba ya kimangungo.

Kila mtu ashinde mechi zake. Simple.
 
Bro jitahd uwe unatenga hela ya ada tangu mwez wa kumi. Hutakuwa na maelezo mengi ya kujieleza kusapoti ujinga wako.
 
Bro jitahd uwe unatenga hela ya ada tangu mwez wa kumi. Hutakuwa na maelezo mengi ya kujieleza kusapoti ujinga wako.
Usinifundishe ujinga mkuu nitoe hela kulipia ujinga ?
 
Anachokosoa na anachoandika vinaakisi kuwa kakurupuka huyo

Most biggest...
blabla
everyone want

Sioni tofauti na "hey!! Which is talking!!"
Wewe ndo kilaza mkuu. Hapo hayo maelezo ni yangu sio ya Mtatiro. Maelezo ya Mtatiro yapo kwenye hiyo caption
 
JF hakuna mtu anasomesha English medium halafu Ada ikamsumbua.
 
Hovyoo..
 
Unafiki wa kibongo Kama ww umesomesha shule za mil 10 usiwanange waosomemsha shule za mil 1. Mtanzania alipata kweli tatizo aisee imagine huyo ni kiongozi hata mbuyu ulianza Kama mchicha tutakuwa taratibu tutakuwa.

Hata Kama kiswaenglish huwezi kulinganisha na darasa linakaa wtt 180+ mtoto analimaza form four unamuuliza ataje mikoa iliopo magharibi mwa Tanzania hawezi
 
Hujaelewa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…