Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

Kila mtu asomeshe mtoto wake pale anapoweza kulipa karo. Hata kama ukiamua kumpeleka mwanao akasome vidudu South Africa 🇿🇦 ruksa if you can afford. Maana hawa waliosoma kayumba kama sisi leo ndo wanatuuza kwa mikataba ya kimangungo.

Kila mtu ashinde mechi zake. Simple.
 
Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu..

Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee???

Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana.


Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda kujistress kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.

Ishi na kanuni hii👇

If your money is not bigger enough to buy you a house, then you have to eat that money.

English Medium ambayo at least unatakiwa kumpeleka mtoto wako ni ile inayo toza ada ya kuanzia at least sh.milioni kumi kwa mwaka na iwe chini ya taasisi. Lakini hizi za kulipa milioni moja na nusu mpaka 3 kwa mwaka au laki tatu kila baada ya miezi mitatu ma zenye kumilikiwa na kina Mr. And Mrs. MUGETTA , ni Kayumba zilizo changamka.. Yani nilipe hela mtoto wangu asomeshwe kiingereza na mtu ambae anaongea kiswahili kama lugha yake ya mawasiliano + kiingereza sio lugha yake ya kwanza? 🤣🤣🤣

Mwisho wa siku unaishia kumsumbua mtoto wako to atakapofika chuo kikuu. Atanyimwa mkopo na wewe hautokuwa na uwezo wa kulipa hayo mamilioni ya chuo..

To be honest, Hizi English Mediums ni kama brands tu na kumsomesha mtoto wako hasa mtoto wa kike kwenye shule hizo ni sawa na " ku mbrand tu" 🤣🤣🤣


Kwa wewe baba ambae bado hujasanuka let me remind you of one thing 👇

The most biggest challenge of being a father is that everyone want it NOW.

The children want to eat now. The children need to go to the hospital now. Their mother want to saloon Now. Their mother want you to have sex with her now. Etc.

Everything about a father is revolving around the word NOW.


And NOW

1. The schools are opened now.

2. Your children want to go to school now.

3. Your wife want to call her friends now boosting yo them ,that you have finished paid for the school fees.

4. And the teachers need the money now.

5. If you don't pay the money now.

6. Your children won't be allowed to go school now.

WHAT ARE YOU WAITING NOW GO AND PAY THE SCHOOL FEES NOW
Bro jitahd uwe unatenga hela ya ada tangu mwez wa kumi. Hutakuwa na maelezo mengi ya kujieleza kusapoti ujinga wako.
 
Bro jitahd uwe unatenga hela ya ada tangu mwez wa kumi. Hutakuwa na maelezo mengi ya kujieleza kusapoti ujinga wako.
Usinifundishe ujinga mkuu nitoe hela kulipia ujinga ?
 
Anachokosoa na anachoandika vinaakisi kuwa kakurupuka huyo

Most biggest...
blabla
everyone want

Sioni tofauti na "hey!! Which is talking!!"
Wewe ndo kilaza mkuu. Hapo hayo maelezo ni yangu sio ya Mtatiro. Maelezo ya Mtatiro yapo kwenye hiyo caption
 
Mimi mwaka huu nimewatoa wanangu hizi shule wapo wawili darasa la tatu nimeamua kila mwaka nawanunulia kiwanja kwa ile ada niliyokuwa natakiwa kulipa mpaka wanamaliza la saba kila mmoja atakuwa na asset ya viwanja angalau vitatu anauza kimoja anapata mtaji wa kuanzia maisha mtaani ...lah kama watataka kuendelea kusoma mfumo ni ule ule tu kikubwa badae sitaki wanione mzee wao niliishi kinyonge....zaidi niliona napoteza pesa nyingi na wavyosoma kayumba ni vilevile tu tofauti inabaki lugha tu.
Hovyoo..
 
Unafiki wa kibongo Kama ww umesomesha shule za mil 10 usiwanange waosomemsha shule za mil 1. Mtanzania alipata kweli tatizo aisee imagine huyo ni kiongozi hata mbuyu ulianza Kama mchicha tutakuwa taratibu tutakuwa.

Hata Kama kiswaenglish huwezi kulinganisha na darasa linakaa wtt 180+ mtoto analimaza form four unamuuliza ataje mikoa iliopo magharibi mwa Tanzania hawezi
 
Unafiki wa kibongo Kama ww umesomesha shule za mil 10 usiwanange waosomemsha shule za mil 1. Mtanzania alipata kweli tatizo aisee imagine huyo ni kiongozi hata mbuyu ulianza Kama mchicha tutakuwa taratibu tutakuwa.

Hata Kama kiswaenglish huwezi kulinganisha na darasa linakaa wtt 180+ mtoto analimaza form four unamuuliza ataje mikoa iliopo magharibi mwa Tanzania hawezi
Hujaelewa mada
 
Back
Top Bottom