kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hauoni maelezo ya lissu na ya zitto yana utofauti mkubwa sana??Lissu AMEOMBA kukutana na Mama Samia. Zitto didn’t. Sio Lissu huyu huyu aliyesema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti? Mnapokuwa waongo basi muwe na kumbukumbu 🤣
Cc Jasusi
hChadema wana matatizo sana ,zitto alipotoa ombi kwa raisi ili Mbowe asamehewe walishupaza shingo .
Na kusema hawahitaji huruma wala hawakumtuma zitto,leo hii Lissu nae kaomba kwa raisi Mbowe asamehewe na achiwe wamekaa na kweli wanakenua.kana kwamba Lissu kasema la maana na tofauti kumzidi zitto .
Hatuoni tofaufi labda Lissu kaomba akiwa ulaya na zitto yupo bongo.
Chadema wacheni unaa mpeni zitto sifa zake za kiongozi amewazidi sana!
Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Kama umeshindwa kungamua tofauti basi unashida kubwa kwenye thinking capacityChadema wana matatizo sana ,zitto alipotoa ombi kwa raisi ili Mbowe asamehewe walishupaza shingo .
Na kusema hawahitaji huruma wala hawakumtuma zitto,leo hii Lissu nae kaomba kwa raisi Mbowe asamehewe na achiwe wamekaa na kweli wanakenua.kana kwamba Lissu kasema la maana na tofauti kumzidi zitto .
Hatuoni tofaufi labda Lissu kaomba akiwa ulaya na zitto yupo bongo.
Chadema wacheni unaa mpeni zitto sifa zake za kiongozi amewazidi sana!
Naunga mkono hoja.Chadema wana matatizo sana ,zitto alipotoa ombi kwa raisi ili Mbowe asamehewe walishupaza shingo .
Na kusema hawahitaji huruma wala hawakumtuma zitto,leo hii Lissu nae kaomba kwa raisi Mbowe asamehewe na achiwe wamekaa na kweli wanakenua.kana kwamba Lissu kasema la maana na tofauti kumzidi zitto .
Hatuoni tofaufi labda Lissu kaomba akiwa ulaya na zitto yupo bongo.
Chadema wacheni unaa mpeni zitto sifa zake za kiongozi amewazidi sana!
Naunga mkono hojaWanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Nami naunga tela nyuma yako hapa Comred PNaunga mkono hoja
P
Kwahiyo licha ya hizo nukuu bado hujaelewa kitu.Nukuu zao tunazo
View attachment 2121679
Kwani alimfuata mwenzake ni nani kati yaoWanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Hauziki kabisa yaani kila akichomoza kichwa anakutana na nyundo...Zitto bana..![emoji23]
Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Kuna tofauti kati ya kusema;Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe
kuna nini cha kuelewa hapo zaidi ya unafiki tu?Kwahiyo licha ya hizo nukuu bado hujaelewa kitu.
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Huyu das hajitambui. Hili swala na Rais kwenda kumwona lilikuwa halikwepeki.
Uvccm lazima waugulie maumivu makali mno kuliko maelezo.Huyu das hajitambui. Hili swala na Rais kwenda kumwona lilikuwa halikwepeki. Umoja wa ulaya wanajua lissu yuko ubelgiji kama mkimbizi wa kisiasa na ziara Rais aliyoenda huko angarudi bila kumwona lissu huenda umoja wa ulaya wangemshangaa sana...
Ya ni kweli hawawezi elewaUvccm lazima waugulie maumivu makali mno kuliko maelezo.
Na bado!