Huu mkutano wa lissu na hangaya unawatesa sana uvccm, wafia chama na wale jamaa zetu wa zambarauWanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai...
ZZK - Zana Za Kilimo (Mbeya). Tunajivunia matunda ya Mwl. J. K. Nyerere. Tungeweza kusimamia viwanda alivyoanzisha Nyerere, Tanzania ingekuwa mbali sana.Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai...
... wakati Zitto anamtaka Mbowe aombe msamaha ili asamehewe; Lissu anataka Mbowe aachiwe bila masharti! Kwa akili zako huoni tofauti ya approach hizo mbili? Dah; binadamu tunatofautiana!Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Jibu swali hapo siyo kujichekelesha kama malaya.Akili za Bavicha bana hahahhaa
Ahsante SANA ndugu ila yafaa tusichoke kuendelea kutoa elimu kwa ndugu wa kijani.KWA mtazamo wangu,kosa la Zito ni
1:kusema Chadema hawajafika Dodoma kwenye kikao na SSH KWA sababu zao wenyewe,akijua Chadema wanataka katiba mpya na si tumehuru ndani ya katiba chakavu.
2:Kuacha kuzungumzia maada za kikao na kumuombea Mbowe msamaha na ingawa kesi inaendlea mahakamani.
3:Kutafuta kiki KWA kesi ya Mbowe ionekane yeye ndo ka play part kubwa kumfanya Mbowe awe huru,ingawa Chadema wanamsimamo wao kuhusu kesi hiyo.
4:Kujifanya front line wa Chadema na ingawa Chadema wenyewe wapo.
Ila KWA Lisu kuzungumzia jambo hilo kama n kweli wamezungumzia,ni sahihi KWA kuwa yeye ni makamu Mwenyekiti wa Chadema, na tangu hapo inaweza kuwa fursa muhimu KWA Chadema kuzungumza na serikali maana vyama vingine wamezungumza na serikali
Usipende kushikiwa akili hamna sehemu Zitto kasema Mbowe aombe msamaha Bavicha bana.... wakati Zitto anamtaka Mbowe aombe msamaha ili asamehewe; Lissu anataka Mbowe aachiwe bila masharti! Kwa akili zako huoni tofauti ya approach hizo mbili? Dah; binadamu tunatofautiana!
Unapotosha kafatilie vizuri alicho kua ana address ZZKUsipende kushikiwa akili hamna sehemu Zitto kasema Mbowe aombe msamaha Bavicha bana.
Narudia tena jibu swali mbona unalikwepa, Nani aliyefuatwa?Pamoja na umalya wangu lakini Bi mkubwa wako kafa kaoza najua unamuonea wivu unaona anafaidi sana.
Baki na kabwela wako, dalali wa wanaccm, asiyeaminika palipo na maslahi upande wake.Chadema wana matatizo sana ,zitto alipotoa ombi kwa raisi ili Mbowe asamehewe walishupaza shingo .
Na kusema hawahitaji huruma wala hawakumtuma zitto,leo hii Lissu nae kaomba kwa raisi Mbowe asamehewe na achiwe wamekaa na kweli wanakenua.kana kwamba Lissu kasema la maana na tofauti kumzidi zitto .
Hatuoni tofaufi labda Lissu kaomba akiwa ulaya na zitto yupo bongo.
Chadema wacheni unaa mpeni zitto sifa zake za kiongozi amewazidi sana!
Si mshabiki wa siasa au wanasiasa lakin kwangu sioni kosa kuomba kuonana na kiongozi wa nchi. Unless ww una maana nyingine lakin hamna ishu ya maana hapoLissu AMEOMBA kukutana na Mama Samia. Zitto didn’t. Sio Lissu huyu huyu aliyesema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti? Mnapokuwa waongo basi muwe na kumbukumbu [emoji1787]
Cc Jasusi
Umenuna au, nngoja nikutafutie dawa🧵Nimemuambia Rais Samia kwamba kesi ya Mbowe haikisaidii Chama chake Rais (CCM), haikisaidii Chama chetu (CHADEMA), inamuumiza Mwenyekiti wetu Mbowe na Chama chake, inawaumiza Walinzi wake na Familia zao na inazidi kutugawa Watanzania"