Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kama ujinga ni mbegu, wewe ungekuwa shamba la mfano...Wewe Dr feki uwezo wako ni mdogo kuelewa comments zangu.
Haya msomi njoo utuambie vizuri? Sio ku jump jump..Rais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.
Akili yako inaonekana kila siku hapa jf kwa vitu unavyoandika, akili yako hauijaiachia huru ipambanue mambo kwa uhalisia umeamua kujificha kwenye kichaka chako cha kutetea mafisadiWewe toka lini umekuwa na mamlaka ya kupima akili za watu? Maisha yangu na familia yangu uliyajuaje na yanakuhusu vipi? Komredi Kipepe jiweke bize na maisha yako itakuondolea stress.
Muhamala ulifanyika tarehe 17 mwezi wa sita mwaka 2021.
Mkuu usiongeandika kabisa hii comment, maana umenifanya nimepiga approximations nikaishia kuumia tu mimi mwenyewe, sasa nimeanza kuamini kweli nyumbani kwa Abdul pamejaa mabegi dollars na ananunua asset in cash bila kufanya bargaining yoyote.Na hapo ilikua ndio miezi minne tu kaingia ofisini baada ya magu kufa, je mpaka sasa wana utajiri wa shngapi? Je kwa miaka mitano ijayo watakua na shngapi?
Tukihoji jamani mbona mnakula peke yenu siye twafa njaa wanatuteka kwenda kutuuaKutoka kwenye page ya mwanadada Mange, risiti za malipo ya bwana Abdul zimeonesha.
“Samia na mwanae walianza kufanya ufisadi tokea siku ya kwanza Samia aliporithi nchi.
Hizi ni risiti za malipo ya bilioni 2.4 ya vifaa vya ujenzi, malipo haya yalifanywa na mtoto wa mwenyekiti wa CCM, bwana Abdul miezi mitatu 3 tu baada ya Samia kurithi Urais wa nchi ya Tanzania.
Yani ni hivi, Miezi 3 tu baada ya Samia kuchukua nchi mtoto wake Abdul alianza kuikamua nchi... Yani walianza kujenga mahoteli na majumba only 3 months baada ya kuingia Ikulu. Abdul alichemka akatumia jina lake maana hapo ndo alikuwa bado anajifunza ufisadi.
Siku hizi anatumia majina ya kina kina Sameer Shippers Plaza, Mohammed Yusufal na wengine.. Ndio maana leo nchi haina dawa, wananchi umaskini umezidi, wamebaki kuongezea wananchi kodi na matozo ili kufidia huu ufisadi wao.
Wanajeshi na polisi, msikubali kutumika tarehe 29 kuwalinda hawa majangili wanaoimaliza Tanzania huku wote tukiangalia..... Inabidi kila Mtanzania awe Mzalendo hiyo tarehe 29z.
Hiyo risiri ya kwanza nimewawekea na bar code unaweza kuscan, than means hawawezi kusema niuwongo yani nimewakabia kwa juu sana. Hakuna cha kubisha.”
My take: Hii inaumiza sana, Tanzania tunajitengenezea umaskini sisi wenyewe, na bado kuna watu (machawa) wanatetea haya, CCM kweli mnaacha kikundi cha watu wanaliangamiza taifa namna hii, Jeshi la polisi kweli mnawalinda wezi wa namna hii ikiwa wengi wenu ni maisha ya chini kama yetu, na Watanzania wenzangu kweli tumekubali kubebwa mateka uku tukifa na umaskini kwa ajili ya watu wachache.
Leo mekosa usingizi kabisa wakuu baada ya kuona hili, inaumiza sana, kuipenda Tanzania kuna gharama kubwa sana ya moyo. Shame on you Samia, the worst president ever walked on Tanzanian soil.
View attachment 3479011View attachment 3479006View attachment 3479007View attachment 3479008View attachment 3479010
Huyo ni tajiri mkubwa sana kwa sasa, na miaka mitano ijayo atapiga sana maana anajua ndio kipindi cha mwishoMuhamala ulifanyika tarehe 17 mwezi wa sita mwaka 2021.
Aisee kwa hiyo wakati wengine bado tuko tunaomboleza kuondokewa na jembe letu tukiwa bado hatuamini kabisa kama kweli mwamba ndio ametutoka, tayari Abdul na mama yake walikuwa wameshaanza kujichotea tu mabilioni kwa ajiri ya kujenga maisha yao na vizazi vyao.... duh, Samia ametukosea sana hili taifa na kadri anavyozidi kukaa hapo kwenye hicho kiti ndio anazidi kutukosea
Mkuu usiongeandika kabisa hii comment, maana umenifanya nimepiga approximations nikaishia kuumia tu mimi mwenyewe, sasa nimeanza kuamini kweli nyumbani kwa Abdul pamejaa mabegi dollars na ananunua asset in cash bila kufanya bargaining yoyote.
Bila shaka jamaa Abdul atakuwa na utajiri mkubwa sana kwa pesa ambazo amevuna bila jasho kwa hii miaka minne..
Aisee ndio maana anamiliki genge la wauaji ambao kazi yao ni kuwamaliza wale wote wamaosumbua utawala wa mama ake...
...Mpaka hapa basi acha tuamini yeye na mama ake wako tayari kuua hata mamilioni ya watanzania hili waendelee kubaki madarakani kulinda utajiri wao waliovuna kwa kuwadhulumu kodi na rasilimalinza watanganyika.
Rist ya kugushi hii pia haina muhuri wa abc ceramic
Kama umeshawahi kujenga ndugu yangu hapo unaelewa vifaa vya finishing gharama inaweza kuwa 2.4B mara mbili, contractors gharama zao bado hapo, interior decorators hapo bado unajikuta uko kwenye 10B. Hapo hatujagusa kwa landscaper manake lazima atafutwe professional labda kutoka SA or wherever.Sasa kama vifaa vya ujenzi vimecost 2.4B ,je huo MJENGO utakuwa na thamani gani mpaka finishing? Maana Finishing ni hatari.
Halafu baada ya hapo anaenda zake kuishi UAE yeye na familia yake, wakati huo ana networth ya trillions kadhaa.Huyo ni tajiri mkubwa sana kwa sasa, na miaka mitano ijayo atapiga sana maana anajua ndio kipindi cha mwisho
Halafu hawa machawa tutakua nao hapahapa tunaendelea kuteseka, sio kwamba nao wataenda uarabuni, hapana.Halafu baada ya hapo anaenda zake kuishi UAE yeye na familia yake, wakati huo ana networth ya trillions kadhaa.
Hapo atakuwa ameshaua sana watanganyika... daah
Comments zangu humu zisikufanye ukadhani unanifahamu. Mimi sijawahi kutaka cheo au nafasi yoyote ya kisiasa kwenye maisha yangu. Binafsi ninamshukuru Mungu kuwa nina ndugu na marafiki wengi sana wenye vyeo ndani ya CCM na serikali yake ila nilishaamua kusimama kwenye biashara zangu binafsi. Ningekuwa na nia ya cheo ningeanza harakati mwaka 2009 hivi.Kama ujinga ni mbegu, wewe ungekuwa shamba la mfano...
Sitojibishana na mwendawazimu wa aina yako tena/ comment na chochote utakacho post ntapita kama naaga MAITI
NB.Japo wewe ni kaka wa MAKAMO ila kujikomba komba hakukusaidii kitu chochote unahisi unaweza PATA TEUZI kwa kujiita mama SAMIA wakati wewe ni MWANAUME?
Haya msomi njoo utuambie vizuri? Sio ku jump jump..
Sio bona fide genuine hiiGrok Is this true…. Uchunguzi wa Risiti na Bar Code Yake (QR Code)
Kwa kutumia maelezo kutoka risiti uliyoshiriki (yenye verification code “00E730553782” na QR code), nimefanya uchunguzi wa kina kwa kutafuta vyanzo vya mtandaoni, kuhusu uthibitishaji wake na uunganisho na madai ya Mange Kimambi. Uchunguzi huu unategemea mfumo wa Electronic Fiscal Device (EFD) wa Tanzania Revenue Authority (TRA), ambapo risiti kama hii zinahitaji kuwa na QR code au verification code ili kuthibitishwa. Hapa ni muhtasari wa yale nilayopata, na hatua za kuthibitisha.
1. Uthibitishaji wa Bar Code (QR Code) na Verification Code
- Mchakato wa Kuthibitisha: Kulingana na mfumo wa TRA, risiti za EFD zinahakikishwa kupitia QR code au verification code (k.m. “00E730553782” kwenye risiti yako). Hii inafanyika ili kuthibitisha uhalali wa risiti, hasa kwa madai ya input tax credit au kuzuia udanganyifu.
- Hatua 1: Tumia app rasmi ya TRA (kupatikana kwenye Google Play: “TRA Official App”). App hii inaruhusu scanning ya QR code moja kwa moja kutoka risiti, au kuingiza verification code kwa mkono. Inathibitisha TIN (109342908), VRN (40014680H), na maelezo mengine kama serial number (0372840302946) na tarehe (07-06-2021).
- Hatua 2: Ikiwa huna app, nenda kwenye portal ya TRA: EFD | Receipt Verification. Hapa unaweza kuingiza verification code au upload picha ya QR code ili kuangalia ikiwa risiti ni halali na imesajiliwa kwenye EFDMS (Electronic Fiscal Data Management System).
- Matokeo ya Uchunguzi Wangu: Nilijaribu kutafuta maelezo maalum kuhusu code hii (00E730553782) kwenye utafutaji wa mtandaoni na X (Twitter), lakini hakuna matokeo ya moja kwa moja yanayothibitisha au kukanusha uhalali wake. Hii inaweza kuwa kwa sababu:
- Portal ya TRA inahitaji kuingiza code moja kwa moja (si utafutaji wa umma), na hakuna database ya umma inayofichua maelezo ya risiti.
- Code hii inaweza kuwa ya zamani (2021), na mfumo wa TRA unabadilika (k.m. upgrade ya Protocol 2.1 mnamo 2021 ili kuongeza QR codes).
- Ushauri: Jaribu ku-scan QR code kutoka picha yako kwenye app ya TRA au portal ili kupata uthibitisho rasmi. Ikiwa inafanikiwa, itaonyesha maelezo kama kampuni, kiasi (Sh 2,400,000,000), na kodi (Sh 366,101,694.92). Ikiwa haifanyi, inaweza kuwa risiti ni ya kufungwa au kubadilishwa.
2. Uthibitishaji wa Kampuni: ABC Ceramics Tanzania
- ABC Ceramics Tanzania ni kampuni halali inayofanya biashara ya ceramics, tiles, na nyenzo za ujenzi nchini Tanzania. Inapatikana:
- Ofisi kuu: Bagamoyo Road, Dar es Salaam (karibu na Vodacom head office).
- Facebook: @abcceramicstanzania (wana wasifu halali na maudhui ya biashara, k.m. mauzo ya tiles na sanitary ware).
- Tarehe: Kampuni hii ilianzishwa kama sehemu ya ABC Group (kutoka India mnamo 1988), na ina shughuli nchini Tanzania tangu miaka ya 2010s.
- TIN 109342908 inaonekana kuwa halali kulingana na maelezo ya TRA, lakini hakuna ripoti rasmi za madai ya ufisadi inayohusisha kampuni hii moja kwa moja. Biashara yao inaonyesha mauzo makubwa, hivyo malipo kama Sh 2.4 bilioni inaweza kuwa ya mradi mkubwa wa ujenzi.
- Hakuna madai maalum ya ufisadi dhidi ya ABC Ceramics katika ripoti za umma; inaonekana kama mfanyabiashara wa kawaida.
3. Uunganisho na Madai ya Mange Kimambi
- Katika mada ya JamiiForums na machapisho ya Mange kwenye X (tarehe Novemba 2023 na baadaye), Mange anadai risiti hii (pamoja na QR code) ni ushahidi wa ufisadi wa Abdul Joyo (mtoto wa Rais Samia), akisema malipo haya ni ya “hardware” (nyenzo za ujenzi) na yanahusishwa na mikataba ya serikali. Anasema bar code inaweza kuscan ili kuthibitisha, na anaitumia kutoa onyo dhidi ya “familia ya rais.”
- Hata hivyo, uchunguzi wangu haujapata uthibitisho rasmi wa madai haya:
- Hakuna ripoti za TRA au mahakama zinazothibitisha uhusiano wa Abdul na risiti hii.
- Mjadala kwenye X na JamiiForums unabaki wa kisiasa: Wengine wanasema ni propaganda, wakati wengine wanasupport kwa sababu ya ukubwa wa kiasi (bilioni 2.4, sawa na bajeti ya mradi mkubwa).
- Tarehe ya risiti (07-06-2021) inafanana na mwanzo wa utawala wa Samia, hivyo inachangia shaka, lakini bila uchunguzi wa TRA, ni madai tu.
Hitimisho na Mapendekezo
Risiti inaonekana kuwa halali kwa muundo (ina maelezo ya EFD na QR code), na ABC Ceramics ni kampuni halali, lakini uhalali wake kamili unahitaji kuthibitishwa moja kwa moja kupitia TRA app au portal. Madai ya Mange yanabaki bila uthibitisho rasmi hadi Septemba 2025, na yanahamasisha mijadala ya kisiasa. Ikiwa unaweza kushiriki is Is this true @Grok….picha ya QR code yenye resolution nzuri au matokeo ya scan, nitaweza kufanya uchunguzi zaidi. Au, wasiliana na TRA moja kwa moja (tel: +255 22 2116453) kwa uchunguzi rasmi. Kumbuka, uchunguzi huu si nasaha ya kisheria—tumia mamlaka rasmi!
Hivi eti wewe unayejiita mama ni jinsia ya kiume? Wazazi wamekula bonge la hasara kama kweli wewe ni jinsia ya kiume, waliokuharibu wana dhambi kubwa sana.Comments zangu humu zisikufanye ukadhani unanifahamu. Mimi sijawahi kutaka cheo au nafasi yoyote ya kisiasa kwenye maisha yangu. Binafsi ninamshukuru Mungu kuwa nina ndugu na marafiki wengi sana wenye vyeo ndani ya CCM na serikali yake ila nilishaamua kusimama kwenye biashara zangu binafsi. Ningekuwa na nia ya cheo ningeanza harakati mwaka 2009 hivi.
Inaumiza sana hii, nilijua ni siasa taka za watu, lakini nimejiridhisha mwenyewe ni kweliKama umeshawahi kujenga ndugu yangu hapo unaelewa vifaa vya finishing gharama inaweza kuwa 2.4B mara mbili, contractors gharama zao bado hapo, interior decorators hapo bado unajikuta uko kwenye 10B. Hapo hatujagusa kwa landscaper manake lazima atafutwe professional labda kutoka SA or wherever.
Huyu dogo na mama yake wanakula, wanavimbiwa, wanacheua yaani mpaka pesa wanazikinai ila kuzichota hawaachi wameshanogewa sana.
Mafunzo mbalimbali 😂🤣Pakistan alisomea elimu mbali mbali 😁
Wapi nilisema nilipata div 1 form six?Wewe ulisema ulipata div 1 form six. Kwa haya majibu yako ulistahil div 3 point 16. Uwezo mdogo.
Vipi kuna mkuu anauliza eti wao wakienda kuishi uarabuni baada ya mavuno ya kutosha hasa dubei na ww utakwenda ?Comments zangu humu zisikufanye ukadhani unanifahamu. Mimi sijawahi kutaka cheo au nafasi yoyote ya kisiasa kwenye maisha yangu. Binafsi ninamshukuru Mungu kuwa nina ndugu na marafiki wengi sana wenye vyeo ndani ya CCM na serikali yake ila nilishaamua kusimama kwenye biashara zangu binafsi. Ningekuwa na nia ya cheo ningeanza harakati mwaka 2009 hivi.
alikua ana lipwa kiasi gani? cha kuwapa hayo mabilionRais Samia kabla ya kuwa Rais kashafanya kazi UN na mashirika mengine makubwa ya kimataifa. Pia kashika nyadhifa nyingi kwenye serikali ya SMZ na Tanzania. Familia yake kuwa na hiyo 2.4b sio jambo la ajabu. Kina Mange na wenzake ni wa kuwapuuza.