Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

Maduka ya Apple kipindi cha Corona huko China hayakufungwa mkuu unachosema upo sahihi na Lenovo bidhaa zao zina unafuu sana tofauti na hizo za USA.
Bidhaa za China unapata zenye ubora at a reasonable price

Samsung wamefunga kiwanda chao cha simu China kwa sababu ya ushindani kutoka kwa wazalishaji wa ndani nao Dell muda si mrefu watakimbia China

Siku Dell wakiondoka China mazima Trump atasema ni ushindi kwa Marekani kumbe wametema bungo kwa sababu ya stiff competition
​
 
Wait and see babuuu,Hao China wenye kutuuzia midosho,mingine unavaa asubuhi mchana imeshachanika!
Dunia lazima irudi kwenye utaratibu wake.
Wachina wanatengeneza cheap na kuuza cheap ila low low low quality.

Hebu waone wachina wenyewe walivyo matapeli tapeli,hivi matajiri wachina matapeli utawafananisha na matajiri wa kimarekani walionyooka
 
Is hukumu akilinya trump kwa haraka, viwanda vitarudi USA, ila baada ya Russia kuanguka itafuta vita na China. Sasa hivi ni kumtibua ili dunia iwe block mbili, na kuipa Europe shock treatment kwanza wachague upande, kisha vita ya china.
 
Hebu waone wachina wenyewe walivyo matapeli tapeli,hivi matajiri wachina matapeli utawafananisha na matajiri wa kimarekani walionyooka
Kuna tofauti kubwa sana kati ya matajiri wa China na Marekani

Kwanza China hakuna tajiri aliye juu ya serikali, bilionea Jack Ma na Li Ka Shing wanafahamu hilo

Mabilionea wa China wamenyooka zaidi ya Marekani mfano angalia Elon Musk anavyotumia utajiri wake kucontrol hata baadhi ya maamuzi ya serikali

Marekani utaona corporations kubwa na zenye utajiri kama BlackRock n.k zikicontrol congress na members wake

Marekani inachojua ni kuwanyonya watu wa chini na kuwafanya mabilionea more powerful

Chinese political system is for the people and the rich business class need to stay out of it
​
 
We hebu ACHA story za vijiweni,matajiri wa SOUTH AFRICA huenda wamenyooka kuliko hao wahuni na ndo mana wapo chinu ya serikali
 
Wait and see babuuu,Hao China wenye kutuuzia midosho,mingine unavaa asubuhi mchana imeshachanika!
Dunia lazima irudi kwenye utaratibu wake.
Wachina wanatengeneza cheap na kuuza cheap ila low low low quality.
Unauziwa bidhaa kulingana na kipato chako huwezi kumudu bei ya jeans ya China inayouzwa Ulaya

Na hata bongo zipo ila wewe kwa sababu ya uduni wa kipato chako ukaenda kununua ya kuvaa asubuhi mchana imechakaa

Tafuta hela
​
 
Wachina wantengeneza iPhones kali za Apple zinauzwa dunia nzima.

Halafu ukitaka feki wanakutengenezea pia.

Kuna siku dogo mmoja alikuja kunitembelea kwangu US kutoka China. Nikamuonesha viatu vingi, nikamwambia achague. Akasema anakipenda kimoja, nikamwambia hicho Made in China lakini, akasema Made in China ya kupelekwa huku US na Made in China ya kupelekwa Africa ni tofauti.

The kid had a point. Kuna vitu mnavidharau kuwa vimetengenezwa China kwa sababu ya market yaje (mfano Africa). Hiyo haimaanishi China hawezi kutengeneza vitu vizuri for the right price.
 
We hebu ACHA story za vijiweni,matajiri wa SOUTH AFRICA huenda wamenyooka kuliko hao wahuni na ndo mana wapo chinu ya serikali
Unaambiwa ukweli unasema porojo.

Mfumo wa kisiasa wa Marekani uko corrupted unawatukuza matajiri kuliko middle class na wale wa chini

Socialism with Chinese characteristics inaangalia ustawi wa jamii yote na sio business class tu

That's China for you
​
 
Huyo XI sijui Shi, mpuuzi tu... Je ameiwekea zero Tarrif Tanzania au kachagua nchi zingine?
 
Unauziwa bidhaa kulingana na kipato chako huwezi kumudu bei ya jeans ya China inayouzwa Ulaya

Na hata bongo zipo ila wewe kwa sababu ya uduni wa kipato chako ukaenda kununua ya kuvaa asubuhi mchana imechakaa

Tafuta hela
​
Ndo uhuni huo sasa,and they give you the same details lakini copy
 
Chinese ni dictator country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…