Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Mwanamke haeshimu Mwanaume asiyemuogopa.
Kuwa mtu kila akikuona anaona hatari Ila Yuko salama.
Yani anajua akibugi tu kaungua.

Ishi Kama Mkoloni Aliye na ustaarabu.
Apology Accepted
Access Denied.
 
Hapo kwenye number drama number nne ni patamu sana,punguza kiwango cha pesa mpe buku 10 tu.
 
Pole Sana kwa yaliyokukuta.....Jipanguse Anza upya kujikwaa sio mwisho WA safari mkuu

Ex wife ni Mtu WA mkoa /kabila gani?
 
Hatasuka
Hapo kwenye number drama number nne ni patamu sana,punguza kiwango cha pesa mpe buku 10 tu.
kabisa kama 50 anabana mchicha hadi unamuonea huruma unampa tena hela akasuke😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…