Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Huyo ndiye mke na ndoa nzuri ndio hiyo, siyo Kama Ile ya Zulu man ambaye nyumba yake Ina Waka moto πŸ˜‚πŸ€£
 
Pigilia nyundo humo humooooo mkuu.

Hakuna kucheka na mtu anayekuharibia furaha yako.
 
Hapo mmekutana wote chenga acha kimsema mwenzako Muhimu si wewe Wala yeye wote hamna mke Wala Mme hapo Kila mtu ashike hamsini zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…