Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Noma sana hawa wanawake hawajui ni vingapi tunarisk kwaajili yao wanachojua ni kuleta lawama tu
 
Nna hakika huyo mwanamke anajiweza kiuchumi, au laah kuna kitu anacho ndo pigo lako wee na anajua huchomoi hapo
Hana chochote ni golikipa hope hata huko dukani analiwa na wateja kwenye duka nililomfungulia mwenyewe
 
SAwa ndugu. Wangu alishafanyaga zaid ya haya.
Ila kilichonikutaa sasa. Kwakifupi, endelea kuomba Mungu ,ila hauna Guarantee kijana siku ikifika. Huwa ni suala la muda tu.

NB
huwez jua kinachoendelea man. There is always a limit to the Sight.
Sina maana yeye ni mbaya.
 
Hii nzuri
 
Ushauri mzuri sanaa huu. Auzingatie next time.

Mkuu min -me njoo tumshaur doctor Santos.

Pia tumpeleke 🍺 🍻 🍺 apunguze mawazo Mimi ntaagiza MAGIC MOMENT Ile kubwa ya 750ml pembeni MBUZI choma laini.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ heinken baridi na makangeya mbuzi
 
Bado anawasiliaa na ex zake na mmoja wapo alishamtafuna kipindi kabla hata hatujawekana ndani, hapo mama unadhani hata kama hamna fumanizi sichapiwi kweli?
Jinga, yani umechapiwa na bado ukaweka ndani 😲😲😲😲😲
 
Nimekuelewa mkuu maana kama ni UMASKINI tumeuishi nae.

Asante Sana mkuu kwa kunipa ALART 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…